Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

Nimeshindwa kuvumilia, machozi yananitoka.

Kwa kifupi hapo unaficha kitu zaidi ya unayo tueleza!
 
Hivi na hii ni 'news alert"??

Jamaa mtambo nini? linaiba nje ya ndoa alafu linajifanya limeumia kukuta tigo imeliwa Mi mtu mingine bwana alafu linaandika News Alert.
 
labda alikuwa na mpango wa kumuacha aliyenaye ili ahamie kwa huyo mwingine sasa uchungu mana alichotegemea sicho
Mkuu sijakusoma nini kinakusababisha machozi yakutoke? Pia sijaona mantiki ya kuleta hii habari hapa, unatueleza ili iweje?
 
Piga chini kaka.
Changanya mbaliga (miguu).
Jutia kosa, tubu,toa zaka na sadaka kwa wingi,usirudie kosa, endelea na mke uliyenaye maana naona bado we ni lena hivyo huwezi kuendesha gari Dar.
 
Kijiji Balaa,wewe huna cha kujilaumu mpaka hapo kwani kwanza kabisa umezungushwa mwaka mzima halafu bado ukang'ang'ana tu ndiyo umekutana na ulichohitaji! We waone watu wamevaa nguo tu! Wameficha makucha yao!


Kuzungushwa siyo issue maana ni hiyari yake kukubali au kukataa, issue ni hiyo ya huyo demu kuliwa tigo.

Kitendo cha kuja 100% kimenichanganya na kumchukia kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Huna haja ya kulia mkuu,we umekula sehemu uliyoona inakufaa na wenzako walikula sehemu waliyoona inafaa,zungumza nae unaweza kupata afuaeni ya hali unayojisikia.
 
yaani na wewe ukuila 0713.... we ni mjnga sana yaani atakuwa amekudharau sana mshamba nenda round ya pili uifumue mpaka itokee mdomoni uone atakavokushukuru yani hujamla 0713...unasema umempa penzi zuri hahahahahahaahahah

Nivea umekuwa vaseline
 
Ee mungu usinipe mawazo ya kumchangia huyu binadamu aliyeisaliti ndoa yake na sasa anataka nimshauri jinsi ya kushughulikia hisia za uchafu alioukuta/alioufanya na mliwa 0713...........Ameni
 
ha haaaaa haa,jamani michango imenichekesha!hata cna la kuongeza
 
machozi yanaakutoka kwa sababu
1. ameliwa tigo
2. unajutia kitendo ulichofanya
3. uchungu baada ya kuzungushwa kwa mwaka 1

unajua wanaume siku hizi wanatuharibia sana dada zetu na wake zetu watarajiwa. Jamaa yawezekana roho inamuuma kwa huyo dada kuraruliwa tigo.
 
yaani na wewe ukuila 0713.... we ni mjnga sana yaani atakuwa amekudharau sana mshamba nenda round ya pili uifumue mpaka itokee mdomoni uone atakavokushukuru yani hujamla 0713...unasema umempa penzi zuri hahahahahahaahahah

even yoo!! God forbid!
 
labda alikuwa na mpango wa kumuacha aliyenaye ili ahamie kwa huyo mwingine sasa uchungu mana alichotegemea sicho

Na mimi nime-note hicho kitu,alitaka aache huko aliko achukue kitu kipya...ila mungu amempigania huyo wa hom!
 
JF keywords nowdays: TIGO,MAHAUSIGELI,NYUMBA NDOGO, KUFUMANIWA, NAPE, LE MUTUZ, DK.SLAA, KADI....ETC
 
Unataka mwenzio ajinajisi mara mbili?

Kama kuna mtu ambaye amenisoma kimakini ni wewe, mimi nimekuwa wazi lakini nashutumiwa utafikiri hili ni kanisa au msikiti!!!

Ni kweli kama mwanaume kwa uzuri alionao niliona ingekuwa ni sehemu ya kujipoza lakini niliyoyaona ndiyo yaliyoliza moyo wangu.

Sijapenda jinsi anavyofanyiwa mpaka kuharibika namna hivyo, hali hiyo ndiyo iliyonisikitisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom