Nimeshindwa kujiamini katika maisha

Nimeshindwa kujiamini katika maisha

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.

Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.

Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.

Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.

Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.
FB_IMG_1756555786719.jpg

Anza kujisomea vitabu nicheki WhatsApp 0756704145 nikutumie vitabu Bei 10,000 Tsh kimoja
 
Japo hujasema kama una kigugumizi.
Ila nerve zako zinahitaji nourishment na si stimulation kama Mjani au booze. Tafuta hizo herbs.
Pia toka tembea daily japo umbali mrefu Bila headphones au miwani.
Ongea na watu live sio mitandaoni kuchart
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.

Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.

Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.

Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.

Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.
Kijana mdogo km wewe unataka kwenda wapi?
 
Achana na wanaokushauri unywe pombe au majani hayo ndio yatakuvuruga kabisa.

Hiyo hali yako inatokana na kuishi na wazazi kwa muda mrefu huku wakiku protect na kukufanyia kila kitu. We unatakiwa utoke hapo nyumbani, uende mkoa mwingine hata kwa ndugu ukakae huko ukutane na maisha ya tofauti na hayo ya hapo home. Hii itakusaidia kukutana na changamoto mpya na watu wapya.
Nachohitaji kikubwa kuchangamka niweze kuendesha maisha yangu mwenyewe. Ili nifanye malengo yangu katika umri sahihi, lakini kila nikiangalia maisha siyaelewi elewi hivyo naona jambo pekee ni kujitosa tu. Ila tatizo ni aibu,kushindwa kuzoea watu kunanifanya nisiamini kama nitaweza.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.

Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.

Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.

Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.

Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.
Jiamini kwenye kifooo
 
Hongera kijana kwa kujitambua!

Kitendo cha kutafuta ushauri ni ishara kwamba unajua mapungufu yako na unataka mwongozo namna ya kuyakabili.
Kwanza kuwa makini na ushauri unaotolewa huku mitandaoni, kama shauri hizo haziko kwenye mipangilo ya ndoto ya maisha yako ya baadae basi ACHANA NAZO kabisa.

Sasa, pamoja na kuomba ushauri huku, ingekuwa jambo la maana kama ungemtafuta mtu wa mtaani kwako ambaye unamwona ana busara au ni roll model kwenye maisha umwombe ushauri.

Ninarudia tena KUWA MAKINI na ushauri wa huku mitandaoni.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.

Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.

Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.

Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.

Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.
Acha kupiga punyeto hilo ndio solution
Kingine kuteseka sifa kama mazingira bado yanaruhusu kuishi nyumbani 20 ni miaka michache sana
Achana na pressure za mitandaoni probably anayekupa hizo tension za "toka kwenu" anaishi kwao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom