Nimeshindwa kujiamini katika maisha

Nimeshindwa kujiamini katika maisha

Usijaribu mjani Wala mvinyo. Jitahidi kuchangamana na watu chanya – Marafiki au ndugu wanaokuunga mkono huongeza ari ya kujiamini lakini pia Kila wakati penda kujisemea maneno mazuri – Badala ya kujiambia "siwezi," anza kujiambia "nitajaribu" au "nina uwezo."
 
Wew huna tatzo lote na bdo mdogo sana tulia tulia atleast 22yrs-25yrs ndo ufanye maamuzi mengne na vile vile kuanza kujitegemea na kitu kinaanza psychologically kwanza ila utaweza
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.

Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.

Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.

Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.

Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.

Ningekuwa na A,B, C nyingine, ningeweza kushauri. Ila ni ngumu kusema lolote, sababu sio situation zote zinafanana. Na sio kila tatizo lina namna moja tu ya kulitatua.

Ingawa, kama ni kweli una changamoto hizo, nakuombea huruma ya Mungu Mwenyezi ikuongoze. Ili ufanikiwe.
 
Hongera kijana kwa kujitambua!

Kitendo cha kutafuta ushauri ni ishara kwamba unajua mapungufu yako na unataka mwongozo namna ya kuyakabili.
Kwanza kuwa makini na ushauri unaotolewa huku mitandaoni, kama shauri hizo haziko kwenye mipangilo ya ndoto ya maisha yako ya baadae basi ACHANA NAZO kabisa.

Sasa, pamoja na kuomba ushauri huku, ingekuwa jambo la maana kama ungemtafuta mtu wa mtaani kwako ambaye unamwona ana busara au ni roll model kwenye maisha umwombe ushauri.

Ninarudia tena KUWA MAKINI na ushauri wa huku mitandaoni.
Shukrani
 
Usijaribu mjani Wala mvinyo. Jitahidi kuchangamana na watu chanya – Marafiki au ndugu wanaokuunga mkono huongeza ari ya kujiamini lakini pia Kila wakati penda kujisemea maneno mazuri – Badala ya kujiambia "siwezi," anza kujiambia "nitajaribu" au "nina uwezo."
Shukrani
 
Pole mkuu ila nahisi bado pia unapiga punyeto.

Acha hicho kitu utaona mabadiliko kwenye maisha yako
 
Nenda kachague kozi pale veta ukiwa bado kijana katika huo umri wako na ujawa na majukumu ya mke wa la watoto,shawishi wazazi wako wakulipie ada kozi ya chaguo lako pale veta kama msaada wao kwako wa mwisho kabla hujaanza kujitegemea

maisha ya sasa yanahitaji kuwa na angalau ujuzi Fulani unakuwa upo salama zaidi kutokuja kudharirika huko mbele ya maisha

maana elimu nzuri huna nina uhakika hata mtaji wa biashara huna hivyo kwenda kitaa kujichanganya bila ya mtaji Wala elimu angalau cheti zaidi utaangukia kazi za saloon,dei waka boda boda ,Bajaj au daladala ukibahatika .

anza kujichanganya kwa kuanza kutembelea sehemu vijana wanna hustle kama stendi za mabus,masokoni,kwenye magarage ukikuta ujenzi mahali nenda hapo jichanganye na hao wajenzi na wajenzi wasaidizi utajifunza mengi.
 
Nenda kachague kozi pale veta ukiwa bado kijana katika huo umri wako na ujawa na majukumu ya mke wa la watoto,shawishi wazazi wako wakulipie ada kozi ya chaguo lako pale veta kama msaada wao kwako wa mwisho kabla hujaanza kujitegemea

maisha ya sasa yanahitaji kuwa na angalau ujuzi Fulani unakuwa upo salama zaidi kutokuja kudharirika huko mbele ya maisha

maana elimu nzuri huna nina uhakika hata mtaji wa biashara huna hivyo kwenda kitaa kujichanganya bila ya mtaji Wala elimu angalau cheti zaidi utaangukia kazi za saloon,dei waka boda boda ,Bajaj au daladala ukibahatika .

anza kujichanganya kwa kuanza kutembelea sehemu vijana wanna hustle kama stendi za mabus,masokoni,kwenye magarage ukikuta ujenzi mahali nenda hapo jichanganye na hao wajenzi na wajenzi wasaidizi utajifunza mengi.
Shukrani
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.

Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.

Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.

Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.

Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.
Njoo tuishi wote ni kutoe aibu wife na watoto wameenda likizo hizi wiki mbili naamini itakuwa sawa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom