Nimeshindwa kujiamini katika maisha

Nimeshindwa kujiamini katika maisha

Joined
Aug 20, 2025
Posts
80
Reaction score
96
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.

Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.

Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.

Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.

Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.
 
Achana na wanaokushauri unywe pombe au majani hayo ndio yatakuvuruga kabisa.

Hiyo hali yako inatokana na kuishi na wazazi kwa muda mrefu huku wakiku protect na kukufanyia kila kitu. We unatakiwa utoke hapo nyumbani, uende mkoa mwingine hata kwa ndugu ukakae huko ukutane na maisha ya tofauti na hayo ya hapo home. Hii itakusaidia kukutana na changamoto mpya na watu wapya.
 
Ila hapo home kama mdau min -me alivyoshauri jifunze pombe itakupa kutoyachukulia Sana maanani maisha na ndo lengo mzee..ukiwekeza kutafuta Sana hela utajenga tabia ya kutoridhikiwa na maisha yako yote utakwenda mbio kuzitafuta bila ya Ku enjoy pia
Kabisa mkuu kuwa mwanaume halafu haunywi pombe ni fedheha sana
 
Hata 20 hujatimiza unawaza kujitegemea? Thou Elimu huna? Vipi una ujuzi gani? Ili ukafanye huko nje ukiwa unajitegemea?

Hebu kaa chini na utafakari, maisha sio simple km uwazavyo, huku nje jua ni kali na linapiga haswaa.

Ila nweiii kupanga ni kuchagua.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.

Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.

Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.

Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.

Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.
Huna tatizo lolote.Ni umri wako tu ambao unakuvusha kutoka utotoni kuelekea ukubwani.Ni hali ya kawaida hiyo.Akili inaanza kuwaza na kutegemea vitu mchanganyiko bila mpangilio maalumu.Take it easy, young man!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom