MJASIRIA MALI
Member
- Aug 13, 2012
- 79
- 43
Heshima mbele.
Wandugu nimeshasajili kampuni kamili LTD by share. Lengo lake muhimu ni kufanya kazi ya udalali wa Nyumba za kupanga,kuuza, viwanja mashamba hasa mkoa wa pwani. Tunategemea kuweka magari baadaye.
Hata hivyo, nimkumbana na Changamoto ya madalali wa chini ya mti ambao hawataki kunipa ushirikiano. Wengi wameniambia live kwamba tukishirikiana na wewe na baadaye wateja wakijua ofisini kwako watakuwa wanakuja moja kwa moja kwako na sisi itakula kwetu. Ni kama wanaambina sasa hapa ubungo tena sipati ushirikiano wao. Kwa unyenyekevu sana naomba ushauri wenu nitokeje?
Pili, nina tatizo la matangazo. Siwezi kutumia magazeti redio na TV kwa sasa kwa sababu ya kiuchumi. Kidogo kidogo nilkuwa naanza kuweka broshure ( black and white) si nzuri sana lakini pia haijaniletea matokea mazuri. Naombeni ushauri wenu kabla sijakata tamaa. Mlioanzisha biashara mlivukaje changamoto hizi?
Naomba unidokeze juu ya utaratibu wa kusajili kampuni ya udalali wa nyumba za kupanga na kuuza viwanjaHeshima mbele.
Wandugu nimeshasajili kampuni kamili LTD by share. Lengo lake muhimu ni kufanya kazi ya udalali wa Nyumba za kupanga,kuuza, viwanja mashamba hasa mkoa wa pwani. Tunategemea kuweka magari baadaye.
Hata hivyo, nimekumbana na Changamoto ya madalali wa chini ya mti ambao hawataki kunipa ushirikiano. Wengi wameniambia live kwamba tukishirikiana na wewe na baadaye wateja wakijua ofisini kwako watakuwa wanakuja moja kwa moja kwako na sisi itakula kwetu. Ni kama wanaambina sasa hapa ubungo tena sipati ushirikiano wao. Kwa unyenyekevu sana naomba ushauri wenu nitokeje?
Pili, nina tatizo la matangazo. Siwezi kutumia magazeti redio na TV kwa sasa kwa sababu ya kiuchumi. Kidogo kidogo nilkuwa naanza kuweka broshure ( black and white) si nzuri sana lakini pia haijaniletea matokea mazuri. Naombeni ushauri wenu kabla sijakata tamaa. Mlioanzisha biashara mlivukaje changamoto hizi?
naweza vipi kusajili kampuni ya udalali wa nyumba za kupanga na viwanjaReal Estate Agent inalipa sana ila inabidi uwe serious, biashara mwanzoni ni mgumu ila kama una huduma za uhakika bila kubabaisha lazima itakutoa tu.
Nakushauri yafuatayo:
1. Ukiweza tengeneza website ya kampuni yako, ambayo inatakiwa iwe updated mara kwa mara ukishindwa tumia blog.
2. Tumia mitandao kama facebook, twitter, instagram, pinterest, kutangaza biashara yako.
3. Ajiri vijana kama wanne hivi ambao kazi yao kuzunguka mitaani kukusanya taarifa za vyumba, nyumba, viwanja haafu unawazitangaza mtu akipanga au kununua unamlipa kwa kamisheni, kama 10% ya kile anachokileta.
Unaendeleaje na udalali?kama upo serious nichek nitakuletea wateja manake mie mwenyewe ndo nimeanza udalali.
Alhamdullilah naendelea vyemaUnaendeleaje na udalali?
Ongeza post insta, naona umefungua ac kuleAlhamdullilah naendelea vyema
Naomba contact zako!Alhamdullilah naendelea vyema
Yah napambanaOngeza post insta, naona umefungua ac kule
0755155782Naomba contact zako!
@Hornet naomba unisaidie njia zakufata kama wafahamu mpaka kufungua kampuni yaudalali0755155782
@breaky tunaomba mwongozo mkuu@Hornet naomba unisaidie njia zakufata kama wafahamu mpaka kufungua kampuni yaudalali