Nimesharoot my s3 how to get 4.3 and other benefits???

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
Hi all,
Nimefanikiwa kufollow instructions na nimeweza kuroot my s3 sasa how to upgrade my software to 4.3 maana sasa iko 4.1??? also i could use some advice kuhusu benefit zingine ninazoweza enjoy baada ya kuroot my phone!!!
 
Hata ungebaki na 4.1, S3 itapata 4.3 upgrade soon toka Samsung.
 
Find custom ROMS za Android 4.3, unaweza kugoogle ukapata katika site tofauti tofauti, or unaweza kucheck on XDAdevelopers.com
 
Kuna 4.3 official for S3 so install Samsung Kies kwenye PC kisha jaribu kufanya update. Otherwise inabidi uinlock bootloader na kisha kufrash ROM mpya.
 
Correction, custom ROMS which are compatible with your phone, na instructios za jinsi ya kuinstall utazikuta huko
 
Find custom ROMS za Android 4.3, unaweza kugoogle ukapata katika site tofauti tofauti, or unaweza kucheck on XDAdevelopers.com

i have checked this over the net but most comes with advice nikikosea i can destroy my phone so i want the most accurate idea!!!
 
Kuna 4.3 official for S3 so install Samsung Kies kwenye PC kisha jaribu kufanya update. Otherwise inabidi uinlock bootloader na kisha kufrash ROM mpya.

iyo official si iko kwa us na europe tu? ishafika kwa afrika? issue ya kuflash ROM inakuja na warning kali ukikosea unaweza haribu simu yako kabisa!!
 
i have checked this over the net but most comes with advice nikikosea i can destroy my phone so i want the most accurate idea!!!

ofcourse thats the precaution that every instructor gives, you just need to be careful on the process. Otherwise you can brick your phone. Its a matter of being careful thats all
 
i would appreciate nikipata mtu amabaye ashafanya na cim yake inafanaya kazi akanipa step by step procedure!!! ki cim chenyewe nimejipinda sana kukinunua so its like i will kill myself nikiharibu kwa style hii
 
Nimeshainstall Android 4.4 custom ROM katika Samsung Galaxy s2....and it just worked fine...ningekuwa close ningekusaidia
 
Basi ni bora uridhike tu na ulicho nacho, kuna kitu unakosa kwa kuwa na 4.1? Haya mambo ya kukimbiza latest version ni kero tu, mimi nina ka Alcatel kana 2.3 nimetulia tu sina pupa, tena mimi nadevelop sana App za Android so nina kisingizio cha kuwai version mpya.
 
Nimeshainstall Android 4.4 custom ROM katika Samsung Galaxy s2....and it just worked fine...ningekuwa close ningekusaidia
mkuu waweza nipa link uliyotumia ya 4.4 kwa s2 maana mi zote nnazopata zimenigomea..
 
ujanja wote ni kutoka XDAdevelopers.com bro, ukigoogle tu Android 4.4 custom ROM for Galaxy S2 zitakuja link. Niko mbali kidogo na PC ningekupa direct link
 
kaka nina s3 pia naweza kukuepusha na usumbufu mwingi.

1. usijisumbue ku update kwenda official 4.3 maana ina buggy balaa hadi wakaisitisha. niliiflash yangu inachukua hadi sekunde 6 kutoa lock tu na pia kila saa inacrash.

2. android 4.2 ipo stable kwenye s3 kuliko android 4.3

3. nimezunguka custom rom nyingi kama paranoid na nyenginezo ila nimeona custom rom zina advantage ya zilivyotengenezewa tu ila ni mbaya kwa matumizi ya kawaida ya mtu.

mfano paranoid inafanya apps zote kama facebook chat hii inamaana hata kama unacheza game unaweza jibu whatsapp au gmail au apps yoyote bila kutoka kwenye hilo game. ni feature nzuri ila sasa ukija mambo mengine ndio custom rom zinapoanza kuboa. utaanza kuona kuna apps hazipo compatible na simu kila ukieka zinacrash. mimi apps zangu ninazofanyia backup zikakataa nikaamua nitoe custom rom nirudi zangu tu official touchwiz.
portal.jpg

4. S4 REVOLUTION
miez kama miwili iliopita nikaikuta hii rom xda nikaflash na hadi leo sijajutia ni sawa sawa na touchwiz ambayo unayo ila imeekwa feature zote za s4 na note 3 na pia ina aroma installer inayofanya hadi mtoto wa chekechea aweze kuieka hii rom.

nikipata muda nitaeka screen shot na namna ya kueka.

kwa sasa hakikisha simu yako ina super su ya chainfire (itakua ipo kwenye simu kama ulitumia njia ya huyu jamaa) pamoja na clockworkmod recovery (cwm)
 
s4 revolution.

version mpya ya 11 ya hawa jamaa unaeka app drawer yenye column na row kama note 3 pia unaweza ukaeka folder ukazigroup apps. hutahitaji launcher nyengine by default inafanya ona screen yangu.
xmyo2Sv.png

kwenye setting rom hii wameeka kama s4 na note 3 kunakua na tabs zinazogroup setting na sio unascroll tu chini juu kunakua na option za kulia na kushoto.
BBmZb9O.png

pia wamemod option za kuboot wameeka uwezo wa kuingia download mode na recovery mode. pia wameeka hot reboot ambapo simu ina reboot bila kuzima yani ni very fast inaenda kwenye logo faster na kurudi tena
danzD4n.png

wakati wa kuinstall rom jamaa wanakuuliza apps unazotaka na usizotaka hivyo simu itakua na app muhimu tu (google+ unaifyeka hapa)

hii rom inakuja na app yake inaitwa update me ambayo ina mambo mengi kama.
1. ota (over the air) update. hutahitaji kuflash tena ikitoka version mpya maana rom itaji update yenyewe.

2. mods mbali mbali. utaweza ingizi mod mbali mbali kama bravia engine ya sony kwa ajili ya kuongeza quality ya picha.

3. walpaper za karibia simu kubwa zote

4. tweak mbali mbali za kuongeza perfomance na ukaaji wa battery.

KUINSTALL CUSTOM ROM
ni easy kama umeroot just eka rom yako uliodownload kwenye folder lolote kwenye simu halafu boot kwenye recovery kisha chagua install zip from sdcard halafu locate folder uliloeka rom kisha install.

ila ku avoid bugs ndio watu wakashauri ufactory reset na kuwipe cache.
 
yap izo ulizotaja hapo juu zipo!!!
 
nimesoma juu hadi chini bado sijakupata nifanyeje sasa? kama umeona i am real looking forward to get rid of google+
 
kaka nenda hii thread ya s4 revolution

[ROM][4.3 MJ9] S4 Revolution v11™{Why buy a Note 3?} Smart Stay & Smart Scroll working [08/12] - xda-developers

utadownload hio rom na kueka folder lolote la simu. (na prefer alarm maana ni la kwanza na halina kitu ndani)

then utaboot kwenye recovery (volume up + home button + power) ikitokea logo ya samsung achia power then utaingia recovery.

chagua install zip from sd card halafu chagua lile file.

itakuja aroma installer ambayo ina maelezo rahisi tu.

ikimaliza kuinstall reboot

sema hii rom ni ya galaxy s3 ya kawaida yaani i9300 hivyo hakikisha aina ya simu yako kwa kwenda setting kisha about.
 
Back
Top Bottom