Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Requal

JF-Expert Member
Jun 5, 2020
1,025
1,907
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli
Tukaendelea




Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the way alivokuwa anajibu maswali niliyokuwa namuuliza, naona kabisa huyu bubie yupo kwenye huu mtandao wa madawa, nimeamua kuachana nae.

Kitu kilichonishangaza anaongea kwa kujiamini sana, kwamba mama yake kakamatwa na mzigo mambo yote yashawekwa sawa anatoka, Ina maana serikali imekuwa laini kiasi hiki? Binafsi namuomba mungu kaamua kuyaweka haya mambo wazi mapema, Angeweza hata kuniletea shida wakati sijui lolote kuhusu haya mambo.
 

Attachments

  • inbound1366426432969984196.png
    32 KB · Views: 28
  • inbound7790857330061702849.png
    32 KB · Views: 22
Wewe shida yako ni pesa au ndoa?
 
Hela nilizo nazo zinanitosha mkuu, sihitaji madili haramu ili nipate pesa za misukosuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…