Nimeshangaa hii Mahari, sikuitegemea

Sasa kama mahar lak6 anaona ngumu, unategemea nn, angekutana na bint anayetaka ka vitz je...anyway siku hz papuch zipo za bei chee atatumia hizo!!
soma vizur post yangu uckurupuke kuchangia ukimaliza mahali kwa wasambaa ni dharau walienda na M nkawaambia watoe 200 kwanza
 
Usikute gumegume Mkuu. Lilisha mtwanga magumi mamake, lilishatembea na waume za watu mtaa mzima, lilishakula uroda na vijana wote wa mtaani, lilisha wahi kuliwa uroda hadharani, n.k

Fanya utafiti Mkuu.
nimeish naye kuanzia o level sema kajifungua mtoto juz juz labda ndo sababu
 
ana miaka 26 ana diploma ya It ni mwajiriwa serikalini
 
mmmmmmmmmmm,Hongera sanaaaaaaaaaaaaa awe mwenye baraka na wewe...
 
Mahari ni makubaliano ya wanaooana na sio kukomoana maana mwanamke si bidhaa kwanza wanaotoza mahari kubwa wana tamaa tu ya mali je binti yako asipodumu sura utaiweka wapi. Kama wamwkubaliana basi na iwe hivyo. Mimi nimeolewa na msahafu tu sio kwamba mume wangu hakumudu kulipa mahari hata yeye alinishangaa baada ya miaka mitatu ya urafiki namshika mahari ndogo,kupewa list ya madango ya nyumbani alitamani kupiga kelele nikamwambia ndio maana nilikushika kitu kidogo maana naijua hii kabila mahesabu yalipigwa vikazidi milioni,nikasimama kidete kuwaambia wazee huyo mtu hana uwezo hatolipa zaidi ya laki mbili au nibaki nyumbani ilikuwa ngumu lkn baadae wakaelewa na niliwafungulia njia wengine vizuri na mpk leo mwaka wa 12 nipo ndoani. Mahari si mtaji wala kukomoana inabidi tubadilike kuna walioolewa na mamilioni hata mwaka hawakumaliza,msikomoane wakati mtaenda kuishi wote na kujenga familia.
 
hebu niambie ndugu wapi hapo nikaoe na mm maana mm niliambiwa million tatu nikachomoa
 
Mkuu hakuna dada aliyebaki kwenye hiyo familia ili na sisi tuingie hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…