cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,925
- 79,001
Aliyeandika hicho kimombo kimetaka niumiza kichwa alivyokoroga sehemu zingine.. kiswahili kingemfaa tu kwa zaidi.. shaaaa.. nae alimaliza chuo na kuandika hayo.. hivi vyuo vyetu jamani.. khaaaaa!!!!!