Nimesamehe ila nashindwa kusahau

Kovu lazima liwepo,na maumivu kupoa inahitaji muda,unachohitaji ni kuwa karibu zaidi na mumeo,aonyeshe kujali zaidi,na wewe vivyo hivyo na hatimae litakuwa historia.Naamini hii itasaidia
 
Back
Top Bottom