Nimesamehe ila nashindwa kusahau

Mwenyewe nimemshangaa!Ila wajuzi wanadai ni heshima kuitwa demu!

Nachoka kabisa mie aibu gani hii unamwita mwanamke mwenzio DEMU???????????? yaani sijui Chauro yuko wapi na Lizzy. Imenishangaza vibaya sana mpaka roho imeniuma............................
 
Nachoka kabisa mie aibu gani hii unamwita mwanamke mwenzio DEMU???????????? yaani sijui Chauro yuko wapi na Lizzy. Imenishangaza vibaya sana mpaka roho imeniuma............................
Mamaa DA nimeshangaa kweli dharau toka kwa wanaume mpaka wanawake tunatupiana...tunadharauliana wenyewe utadhani nini sijui!!Ila naona kabadili kwahiyo angalau amebadilika japo hapa jamvini!
 
Hata wadutch wantumia hilo neno dame kumaanisha wanawake. Lets take it positively. Nilikuta wameandika hivo nikajiuliza sasa kwa nini Tz wana mind mtu akiitwa dame au kwa kuwa ni lugha wanayoipenda watu wa vijiweni?

Madame... Mademoiselle....., Madam...... wabongo wanafupisha demu
Actually kuitwa Madam ni heshima kubwa sana kama vile kumuita mtu Lady
 
Isitoshe mtoa mada kamuheshimu sana huyo demu. Mimi ningemwita malaya kabisaaa. Kutoka na mume wangu na anajua ameoa. Mwacheni amuite atakavyo. Yaani aitwe mheshimiwa kwa lipi?
 
Nakuunga mkono. Kama akili yako ni fresh kabisa utasahauje bana. Tunasamehe sawa lakini kusahau ni ku pretend tu.

Ah Lumecha mie nimetoa mtizamo wangu wala hauhusiani na kutendwa...najua kutendwa ni sehemu ya maisha na ndio kulonkomaza but nilishamsamehe kitambo ila ah........ninayo kumbukumbu yangu kibindoni!! Hao wanaosema wamesamehe na kusahau ndo nawaonea wivu...........kusahau ndo kukoje? kuwa leo nikijakuuliza ulowahitendwa hutokumbuka au?
 
Mamaa DA nimeshangaa kweli dharau toka kwa wanaume mpaka wanawake tunatupiana...tunadharauliana wenyewe utadhani nini sijui!!Ila naona kabadili kwahiyo angalau amebadilika japo hapa jamvini!

Jamani mbona mnakua hivo? mada inanihusu mimi na mume wangu ila mnataka kuifanya ya kujua huyu dada aitwe dame ao aitwe nani? Mimi siishi dar na sijui neno hili lina maana gani huko ila hapa ninapo hishi neno hilo halina maana baya. Kwa kuhakikisha kila mtu anaelewa naongea kitu gani na kuwasaidia kufocuss kwenye swali muhimu la mada nimebadili neno demu na kusema mpenzi wa zamani aka ex. Now that the wording is fixed can we please go back to MY situation? Please...
 
Haya dada ushauri wangu ni kuwa kusahau si kitu cha kuamua, ni human nature na sidhani kama kuna aliyetendwa akasahau. Ila what we normally do ni kutokuonyesha muda wote kuwa hujasahau, kwani unatakiwa kumpa jamaa second chance na kama utaendelea kulia lia ni obvious mumeo anaona hata kumsamehe hujamsamehe. Nakushauri kuwa ukitaka kulia jifiche mahali lia weeee ila usilie on his presence kama bado unampenda. But mwache akome si ameyataka mwenyewe. He needs to give you time to heal. Kwanza sijakuuliza when did this happened? Mara nyingi huwa tunalia pale issue inapokuwa bado hot. After 6 months hivi hutajisikia kulia tena lakini hutakaa usahau I am assuring you that!

Jamani mbona mnakua hivo? mada inanihusu mimi na mume wangu ila mnataka kuifanya ya kujua huyu dada aitwe dame ao aitwe nani? Mimi siishi dar na sijui neno hili lina maana gani huko ila hapa ninapo hishi neno hilo halina maana baya. Kwa kuhakikisha kila mtu anaelewa naongea kitu gani na kuwasaidia kufocuss kwenye swali muhimu la mada nimebadili neno demu na kusema mpenzi wa zamani aka ex. Now that the wording is fixed can we please go back to MY situation? Please...
 
Kwanza pole sana kwa hali hiyo. Niseme tangu awali kuwa kuna baadhi yetu hatutoi ushauri wa kujenga badala yake baadhi tunadhihaki na kusema vibaya. Ukweli ni kwamba kama alivyosema mmoja wetu wewe HUJASAMEHE na ndio maana ukikumbuka unaumia! sisi ni binadamu na kamwe huwezi kusahau kile ulichotendewa. Kwa hiyo, kusamehe kwa uhakika ni kuwa na hali ya amani moyoni hata kama utakumbuka kuwa uliwahi kufanyiwa jambo fulani
 
Kwa hiyo red umenikosesha hamu ya kuchangia. Wewe ni mwanamke kweli unamwita mwanamke mwenzio DEMU????Kha napata mashaka kama wewe ni mwanamke unatabia chafu sana

DENA AMSI nawewe kwa kukurupuka haujambo...tayari watu wameshatoa clarification nzuri ya demu....short term inayotoka kwenye neno madame....madam....."dame" ni slang za kiswazi tu, kiswahili tu hicho. so, pitia comments za wadau wengine ndo unatoa comment hapo hekima utakuwa nayo. decision/ushauri=ufahamu+hekima
 
jambo la pili, dada yangu kila mara huwa napenda kuwashauri watu walio katika mahusiano ya ndoa ama uchumba kusoma vitabu vilivyoandikwa na watu wenye ujuzi na weredi wa mambo hayo. Kwa mfano kuna kitabu kinaitwa NDOA YANGU, NINGEJUA hicho kimejaa maarifa nami nakuhakikishia kuwa kitakusaidia sana kuimarisha ndoa na hasa magumu yanapokupata. Kitafute kwenye maduka ya vitabu
 
Kusamehe siyo issue kila mtu anakosa na pia hata imani zetu tumeambiwa tusamehe 7 mara 70.. Issue ni life after huo msamaha.. kuna dalili nyingi jamaa yangu anatakiwa afanye ili kurudisha amani ndani ya roho ya mama.. Inabidi ajirekebishe kwa mengi na kuonyesha ametambua anafamilia na hayuko bachelor tena...
 
Mimi ambaye nauchungu nae ni mwenye party kwa nini akutumie hizo picha?kwa nini anataka kuvunja ndoa yenu?ni mnafiki mkubwa,chunguza kwanza kwa nini mwenye party amefanya hivyo.
 
Ila kweli huyo alotuma picha nae!!!. Anyway labda alikuwa na nia ya kuku alert na waweza kukuta hata ni dada wa mume yaani wifi. Au ametuma kama anonimous? Wakati mwingine umbea unasaidia! Taking it positively hivi bila hiyo picha si jamaa angekuwa anakuaga kila baada ya mwezi ili akutane na huyo so called x. Kwa wewe kufahamu what's going on kwa upande mwingine imesaidia kumchomoa jamaa kwenye mtego kabla hajanogewa (am assuming and hopping kuwa ameacha kuwasiliana na huyo x)

Mimi ambaye nauchungu nae ni mwenye party kwa nini akutumie hizo picha?kwa nini anataka kuvunja ndoa yenu?ni mnafiki mkubwa,chunguza kwanza kwa nini mwenye party amefanya hivyo.
 
Asante sana Black... Kwa kweli nampenda sana mume wangu na naona ameongeza sana juhudi za kuonesha mapenzi... Nitajaribu na mimi kuongeza za kwangu tuone mwisho wake. Asante (THANKS button iko wapi when I need it???)

Ni mojawapo ya mapito ya dunia endelea kumwomba Mungu muendele kuwa na mahusiano hayo mpaka mwisho Mungu ni muweza wa yote
 
Mimi ambaye nauchungu nae ni mwenye party kwa nini akutumie hizo picha?kwa nini anataka kuvunja ndoa yenu?ni mnafiki mkubwa,chunguza kwanza kwa nini mwenye party amefanya hivyo.
Kwa kweli sijui kwa nini alifanya hivo, sijamuuliza chochote na nilikata mawasiliano nae sababu nilihisi ali-support uhusiano huo... Picha alitumia watu wengi tu kama "vote of thanks" ila chakushangaza hajamtumia mume wangu, alinitumia mimi tu. Mume wangu hakujua mimi niliona picha hadi tulipo onana tena ana kwa ana (nilikataa kupokea sim zake hadi aliporudi nyumbani).
 
jambo la pili, dada yangu kila mara huwa napenda kuwashauri watu walio katika mahusiano ya ndoa ama uchumba kusoma vitabu vilivyoandikwa na watu wenye ujuzi na weredi wa mambo hayo. Kwa mfano kuna kitabu kinaitwa NDOA YANGU, NINGEJUA hicho kimejaa maarifa nami nakuhakikishia kuwa kitakusaidia sana kuimarisha ndoa na hasa magumu yanapokupata. Kitafute kwenye maduka ya vitabu
Nitafanya hivo mkuu. Asante.
 
Sasa wewe unaona alifanya vibaya au alikusaidia??? Tunatofautiana, mimi mtu akimwona mume wangu ana misbehave akinambia ntamshukuru sana hata kama moyoni mwake alikuwa na nia mbaya. Nambie usingeona hiyo picha si ungekuja kushtuka mumeo ana watoto wawili nje.
Au unadhani angeamua tu mwenyewe bila shinikizo toka kwako kuacha katabia alikokaanza. In most cases wazinzi hawahachi mpaka wafumaniwe!
Mshukuru Mungu umejua mapema na una uwezo wa kumrudisha mumeo kwenye mstari. No matter alokwambia alikuwa na nia gani wewe mshukuru Munge umejua. Na si haki kusema kuwa mwenye party alimtuma mumeo aende na kimada, wanaume wengine ni washenzi ni akili zake mwenyewe. Wewe waweza kumualika mtu mzima afu umwambie njoo na kimada wako??? Kwanza mumeo hana aibu kabisa alitoa wapi guts za kwenda kwenye sherehe (public ) na another woman na yeye ameoa na watu wanajua ameoa. Wenzake hujificha hawafanyi adharani.

Hapo kuna mawili kwanza ni kosa la uzinzi, pili ni la kukuvunjia heshima kwa kushow up in public na another woman. Ila msamehe bure asirudie.

Kwa kweli sijui kwa nini alifanya hivo, sijamuuliza chochote na nilikata mawasiliano nae sababu nilihisi ali-support uhusiano huo... Picha alitumia watu wengi tu kama "vote of thanks" ila chakushangaza hajamtumia mume wangu, alinitumia mimi tu. Mume wangu hakujua mimi niliona picha hadi tulipo onana tena ana kwa ana (nilikataa kupokea sim zake hadi aliporudi nyumbani).
 
Pole sana, kusamehe unaweza kabisa kusamehe ila kusahau sidhani kama inawezekana hata ikipita muda mrefu kiasi gani. Hivyo kama hili bado limo katika mazungumzo yenu mara kwa mara basi muhakikishie tu kwamba umemsamehe kabisa ili muendelee na ndoa yenu. Kuendelea kuumia kwa sasa si kitu cha ajabu kwa kuwa kitendo chenyewe kimetokea mwanzoni mwa mwaka huu hivyo ni miezi sita sasa lakini kadri muda utakavyokuwa unasogea utaona ahueni ya kuumia kwako lakini hutaweza kusahau.
 
Asante kwa ushauri. Kwa kweli najua kama siwezi kupoteza kabisa picha hizo ila ninachoomba ni kuweza kukumbuka bila kuumia. ndio kusahau kwenyewe. sio kusahau tukio ila ni kusahau maumivu niliyo pata kipindi kile na kuacha kulia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom