Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Sasa demu si kiswahili cha dame ambayo ni mwanamke tu?Unamwitaje mwanamke mwenzio demu!?Hata hivyo huwezi jua labda anaenda nae kwenye party na sherehe kwasababu yeye ni "demu".
Eti ehhh??Vizuri unaelewa hivyo maana hata wewe huko kwenye party mumeo hua anakuita demu!Sasa demu si kiswahili cha dame ambayo ni mwanamke tu?
eti ehhh??vizuri unaelewa hivyo maana hata wewe huko kwenye party mumeo hua anakuita demu!
Kaka najua na naelewa binadamu tumeumbiwa na kasoro na ndio maana niliamua kusamahe kosa lake sababu hat mimi sijakamilika kwa mambo mengine. Na kama nilikubali kua na mume wangu ni sababu namuamini. ikiwa imani hiyo itapotea basi itabidi nifikirie upya uhusiano wetu. Siwezi sema kwa aasilimia 100 kua hawezi cheat (hata yeye hawezi jua) ila nina uhakika kwa kiasi fulani he is trust worthy. Tatizo ni hilo kovu, linauma kama donda...Kuna kosa moja kubwa sana unalifanya shem. Inaonekana unamwamini huyo mwanaume kuliko navyotakiwa kuaminika binadamu. Utakuja jinyonga siku ukithibitisha katembea nje ya ndoa.
Nakushauri muamini, lakini jua kama binadamu ana 'haki' ya kukosea kwani binadamu tumeumbwa na udhaifu fulani...
Madame... Mademoiselle....., Madam...... wabongo wanafupisha demuEti ehhh??Vizuri unaelewa hivyo maana hata wewe huko kwenye party mumeo hua anakuita demu!
Kwa nini unasema hivo? nilivo kua na hasira nilifikiria kufanya kitu ili na yeye aumie kama nilivo umia ila nikaona two wrongs don't make a right na nikaamua kusamehe. Nilivo samehe nikawa sina hasira tena na mapenzi yangu kwake, trust na ukaribu vyote vikarudi pale pale. Haikua instant na kuna wakati hasira ilirudi tena ila leo nahisi kama nimesamehe kweli... tatizo ni kwenye kusahau sasa. Kwa maana nyingine nataka nikikumbuka yalio tokea nisisikii maumivu yoyote sababu yamesha pita... Nisaidieni jamani.Hujasamehe bado
Mimi sio!!kwani wewe babygal sio demu lol
Hamjambo wakuu?
Mimi ni mke wa mtu. tuko pamoja sasa miaka 3 ila mwaka huu mwamzoni tulienda likizo home town kwao na niligundua kua mume wangu alienda party na demu wake wa zamani. Mimi alinambia kua ameenda safari ya siku 2 ila mwenye party alinitumia picha za party na nikamuona amekaa na demu wake huyo wa zamani wanacheka.
Nilipo muuliza alinambia maneno mengi ila akaomba msamaha na nikaamua kusamee na kuendelea na mapenzi yetu.
Ilikua ni mara ya kwanza ananifanyia hivo na kusema kweli naamini hakuendelea.
Tatizo ni kwamba hata kama niliamua kumsamehe nashindwa kabisa kusahau. Kila nikikumbuka nalia sana na tunaishia kujiskia vibaya, yeye kama mimi. Ananiomba tena msamaha na nikimwambia yamesha pita haamini. Sina hasira yoyote na sijawahi mlipiza kwa namna yoyote, sema tu najiskia vibaya sana na naogopa kosa lake lile litakuja kutia sumu katika mapenzi yetu.
Jamani nisaidieni. Nifanye nini ili uchungu upotee na mume wangu aamini kua kweli nimesha samehe?
Haya hongereni kwa mnaojua kifaransa!Wengine hatukuvuka darasa la saba!Madame... Mademoiselle....., Madam...... wabongo wanafupisha demuActually kuitwa Madam ni heshima kubwa sana kama vile kumuita mtu Lady