Nimesalitiwa, naomba ushauri

Nimesalitiwa, naomba ushauri

kwanza nipende kuwashukuru members wa JF kwa ushauri mzuri mnaotoa kwa wale wanao omba ushauri Mimi ni kijana nilie ingia katika mahusiano na msichana mmoja ambae katika mahusian yetu hatukuwai kukutana kimwili tangu tuanzishe mahusiano lakini lakushangaza mwenzangu alinambia anamimba na anataka akatoe ili aendelee na shule na bado anadai kuwa ananipenda sasa sijui ananipenda kweli au ndo anataka kuniua [emoji180]
Wewe si ommy dimpoz huwezi kazi? sasa wanaume wamemshughurikia fasta fasta, km vp lea mimba mpaka aze na ulee mtoto teh teh teh....
 
Anko nimeeka hii story cuz ts true story in.ma life u know huyo gush alikua dem angu lkn ckuwahi mgusa ngozi ta sku moja ila nlishangaa ananambia shez preg na nkaona kweli n after all akatoa hiyo mimba but anasema still ananipenda asa ndo nauliza kama ni wewe unachkua action gani[emoji174]
~km ni mm mkuu na muacha tena kabisa kwa sababu zifuatazo.

1.sio mwaminifu
2.Muongo (alisema ananipenda kumbe yupo anae mpenda zaid aka amua kuzin nae)
3.Kanidharau kuwa mm siwez kumfanya........
4.Msaliti
5.Mnafiki anasema anenipenda vp kuhusu huyo men?????

Nyongeza;feli mtihan wa shule utarudia na kutafuta credit lkn c mke kaka.

Onyo;msamehe mwenzio usiue ushirika
 
kweli ukistajabu ya lubuva utayaona ya jecha sasa mkuu hapo unahitaji ushauri gan nakukumbusha Girls are like mangoes, while you are waiting for them to be ripe, others are eating them with salt..... Pole kwanza hyo ni dharau aiseee.... Akili ya kuambiwa hongeza na ya kwako.
 
kwanza nipende kuwashukuru members wa JF kwa ushauri mzuri mnaotoa kwa wale wanao omba ushauri Mimi ni kijana nilie ingia katika mahusiano na msichana mmoja ambae katika mahusian yetu hatukuwai kukutana kimwili tangu tuanzishe mahusiano lakini lakushangaza mwenzangu alinambia anamimba na anataka akatoe ili aendelee na shule na bado anadai kuwa ananipenda sasa sijui ananipenda kweli au ndo anataka kuniua [emoji180]
Utakuwa lini chalii au mimba imeingia kwa sms mnazotumiana. Dah alafu demu anadharau sana huyo yaani anakujulisha kabisa kuwa kuna kidume kinapiga mpaka kimechana wavu.
 
Tatzo la wana jf mada.mnapenda kzichklia kma siasa mnatus kejel hili sio bunge kwamba tnajadil mswada kama huna point ya msing kimya ni bora kuliko kuingea mambo ya kijinga
 
Tatzo la wana jf mada.mnapenda kzichklia kma siasa mnatus kejel hili sio bunge kwamba tnajadil mswada kama huna point ya msing kimya ni bora kuliko kuingea mambo ya kijinga
Wewe mwenyewe ni majanga matupu vitu vingine kabla hata ya kuandika hebu jifanyie tathmini kwa kufanya maamuzi wewe kama wewe je kwa mtazamo wa jamii n sawa au si sawa?
N haki yako ya kidemokrasia kuwa na uhuru wa kujieleza,lkn mambo mengine yanaletwa humu ya kitoto mno na yanapunguza heshima ya JF.Km umeshindwa kufanya maamuzi kwa ulichokiandika nathubutu kusema haukupaswa uwe na jinsia ya kiume.Mambo mengine muwe mnaona aibu kuyaleta humu alaa!
 
Back
Top Bottom