Nimesalitiwa na mpenzi wangu, naumia sana na sina raha kabisa

Poleeee sana,
Napenda niione picha ya huyo msaliti.
Asije kuwa ndiye huyu niliyenaye kipind hichi.Lengo langu nimuwahi
 
Ukweli ni kuwa Wanaume tumekuwa tukilalamika sana kwenye mapenzi siku hizi... Nafikiri tumeshindwa kujua ya kuzingatia na tumeanza ku deal na mambo yasiyotuhusu.

Mkuu pambana tafuta hela, kula maisha, Jali wazazi wako, Papuchi is everywhere.
 
Oraaa gudi mwanangu umeongea point big up sana
 
Pole sana mkuu , be a man,move on, hawa viumbe basi tu, ukibahatika zaa nao na jali watoto. Mimi nilikuwa na binti mmoja kila akija kwangu simu lazima iwe imeisha chaji na anaiweka charging au anageuza kioo kwa chini ikiwa silent.Nilichofanya ni kumtafutia timing tu nikampiga chini nikiwa na ushahidi wa kumwambia si mwaminifu. Tafuta pesa, jali watoto wako na ndugu na marafiki. Wanawake wengi ni mawakala wa Lilith
 
Pole mdogo wangu! Wasikudanganye haiumi ni waongo...inauma mnoooo tena kuna muda unakosa ht usingizi ila km kaka yk nakwambia itafika muda utasahau na hutaamini aisee! Time heals na si uongo. Utamsahau na hutaamini achana nae km roho imeshamkataa!
 
Asante sana kwa ushauri nimesha achana nae lkn
 
Back
Top Bottom