Nimesalitiwa na mpenzi wangu, naumia sana na sina raha kabisa

dah we jamaa mbona umefanya niwaze mbali, demu wangu mchaga then kuna kaka yake kwa baba mkubwa sijui anamsumbua yani niko nae kila saa simu nikauliza kwani vipi akaniambia eti bro ananitongoza hapa nipo na wewe anaumia ndo kila saa simu.
Nikwamwambia unamuentertain nitakuachia kaka yako sitaki ujinga mpaka leo sijasikia tena. kumbe ndo tabia zao eeh
Bila shaka ni mkibosho huyo! Hao wazuri ila wanakuwaga miyeyusho sana yani beki hazikabi😅
 
Hii dunia kumbe bado ipo nyuma kiasi hiki... Hadi leo kumbe kuna watu wanaumia kisa mapenz??? Dogo toka ktk hilo dimbwi la ujinga wa mapenz... Hii dunia kusalitiwa ni jambo la kawaida sana wala sio breaking news tena... Ukigongewa na wewe tafuta wa kumgongea... Otherwise utakufa kiboya kwa presha.
 
Hapana usinishauri ujinga kuna magonjwa ya ngono yamejaa cku iz usinishauri upuuz hata cku moja kaa kimya kama mawazo yako ni negative
 
Ni mwaka wa pili sasa nipo kwenye mahusino na mpenzi wangu niliyempenda sana na kumjali. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alinionyesha tabia ambazo sizo tabia za kuchat na ma ex boyfriends wake na sio mmoja ni zaidi ya mmoja. Nilijitahidi sana kukaa naye kuongea nae na akakubali kunikosea hivyo kuniahidi mabadiliko na kweli niliyaona mabadiliko.

Toka hapo mpka leo ni mwaka na zaidi mnamo wiki iliyopita nilimtembelea mpenzi wangu nikiwa na zawadi yake niliyoinunua kwa kujibajeti kwani mshahara wangu ni mdogo na maisha ya mjini ni gharama lkn nkasema nimpatie mwenzangu hiki kidogo.

Nilifika kwao na kumkuta akiwa katika mazingira ya kuogopa nsije nkakutwa na mwanaume wake mwingine na haya niliyajua baada ya yeye kugoma kutoka nje jambo ambalo lilifanya tushinde tu ndani na muda ulipofika nilishika cm yake na niliyoyakuta basi najua mwenyewe.

Niliumia sana kiukweli sikuweza hata kuaga nilitoka na kuanza safari ya kurudi kwangu ambapo ni sehem ya mbali sana. Nilijikaza sana njian nlitaman nikae sehem nipate ata bia nisahau lkn nkasema hapana ngoja nirudi home tu. Nashukuru nipo likizo mana nisingeweza ku perfom kazini naumia kwa aliyoyafanya mpenzi wangu sikuwahi kuwaza kama tutaachana lakini sina jinsi sio fungu langu mana angekuwa fungu langu asingenisaliti.

Sasa nipo single naishi kiupweke nimezoea meseji zake kila mara nmezoea utani wake mara kwa mara lkn sasa nipo tu najaribu kujifariji lkn kuna muda nashindwa nmefuta picha zake na kila kitu chake. Sina raha kabisa japo siwezi tena kurudiana naye hata akiniomba msamaha.

Nimeumia kweli mtu ambaye kila mara nawaza juu ya ndoa yetu nawaza tutaishije badae nawaza watoto wetu badae wataishije najibana nipate kidogo nimuoe leo hii ananisaliti ni maumivu sijawahi yapata ndugu zangu.

Ayo ya kutembea na mawazo njiani iliwah kuntokea nmegonga dem baadae kuna mwamba akamtokea dem akampanga kaathirika(alimdanganya hili amkwepe) yule jamaa akaja kunambia mm asee lile wenge nkaenda hospital nataka kupima ngoma sema dem alncheck akanambia jamaa flan kantongoz nmemjib hv(hakijua kama naenda hsptal) dah ikawa ponapon ya kuchezea dam yang Kwny kipimo.

NB;haiusian na mada ila tu nmevut pic ya how ulifeel mtoa mada
 
Nilifeel very bad I can't explain imagine umetoka umbali unampelekea mpenzi wako kitu ulichonunua kwa kujibana zen unakuta ameshaanzisha mahusiano mengne na ww akikupamba kuwa ndy everything kwake.
 
Nilifeel very bad I can't explain imagine umetoka umbali unampelekea mpenzi wako kitu ulichonunua kwa kujibana zen unakuta ameshaanzisha mahisiano mengne na ww akikupamba kuwa ndy everything kwake.
Naelewa inavyouma mkuu mfno me nlikuw na dem1 nlikuw namkbal cku nkamkuta kakaa na boya m1 daah nliumia kinyama nkaondok sema dem alinfata akanielekeza jamaa alikuwa anaimbisha akatoswa tena akanambia mpk swaga zake.

Pole sana ndgu yang Mapenzi yanauma
 
Shukrani sana
Mapenzi yanauma kiukwel hasa ukiwa na nia ya dhati na mwenzako alaf yeye akajaa tamaa
 
jikaze kiume mzee!! hawa viumbe wapo wengi..kuwa na roho ngumu saivi..fanya maisha..tafuta pesa jijenge kiuchumi zaidi tafuta kitu unachopenda..kama mpira au movies..dili nacho kutoa stress!! BTW POLE SANA MAN haya wengi tumepitia!!

NB: we should love women not understand them!!
 
Thank you brother umenishauri vyema ni week imepita sasa naanza kuzoea kuishi bila yeye.
 
Back
Top Bottom