Nimesalitiwa na mpenzi wangu, naumia sana na sina raha kabisa

Huna akili wewe, mwanaume mzima unalilia penzi badala ya kutafuta pesa,jinga la wajinga,usikute ndg au wazazi wako hata hawapati mahitaji ya msingi,puuzi wewe tafuta pesa mapenzi yatafuata pesa
Ni mwaka wa pili sasa nipo kwenye mahusino na mpenzi wangu niliyempenda sana na kumjali. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alinionyesha tabia ambazo sizo tabia za kuchat na ma ex boyfriends wake na sio mmoja ni zaidi ya mmoja. Nilijitahidi sana kukaa naye kuongea nae na akakubali kunikosea hivyo kuniahidi mabadiliko na kweli niliyaona mabadiliko.

Toka hapo mpka leo ni mwaka na zaidi mnamo wiki iliyopita nilimtembelea mpenzi wangu nikiwa na zawadi yake niliyoinunua kwa kujibajeti kwani mshahara wangu ni mdogo na maisha ya mjini ni gharama lkn nkasema nimpatie mwenzangu hiki kidogo.

Nilifika kwao na kumkuta akiwa katika mazingira ya kuogopa nsije nkakutwa na mwanaume wake mwingine na haya niliyajua baada ya yeye kugoma kutoka nje jambo ambalo lilifanya tushinde tu ndani na muda ulipofika nilishika cm yake na niliyoyakuta basi najua mwenyewe.

Niliumia sana kiukweli sikuweza hata kuaga nilitoka na kuanza safari ya kurudi kwangu ambapo ni sehem ya mbali sana. Nilijikaza sana njian nlitaman nikae sehem nipate ata bia nisahau lkn nkasema hapana ngoja nirudi home tu. Nashukuru nipo likizo mana nisingeweza ku perfom kazini naumia kwa aliyoyafanya mpenzi wangu sikuwahi kuwaza kama tutaachana lakini sina jinsi sio fungu langu mana angekuwa fungu langu asingenisaliti.

Sasa nipo single naishi kiupweke nimezoea meseji zake kila mara nmezoea utani wake mara kwa mara lkn sasa nipo tu najaribu kujifariji lkn kuna muda nashindwa nmefuta picha zake na kila kitu chake. Sina raha kabisa japo siwezi tena kurudiana naye hata akiniomba msamaha.

Nimeumia kweli mtu ambaye kila mara nawaza juu ya ndoa yetu nawaza tutaishije badae nawaza watoto wetu badae wataishije najibana nipate kidogo nimuoe leo hii ananisaliti ni maumivu sijawahi yapata ndugu zangu.

Pole mwaya ila inaonekana wote bado nyie bado wadogo.

Songa mbele utapata mwingine japo inauma usije tu ukajiua maana wanaume hamkawii
 
Hayo yakwako madogo sana sana mdogo wangu naona unateseka kiasi kwamba yaliyo kukuta nimakubwa sana kushinda ulimwengu mzima.

Ipo hivi mwezi wa 4 mwaka huu huu, msichana ambaye nilikuwa nategemea kumuoa amebeba ujauzito wa mwalimu wake wa kwaya bila ya mimi kujuwa na wakati mimi niliwahi kumuomba sex akasema mpaka tukioana, nimedumu naye kwenye mahusiano 3 year sijui hata rangi yake ya chpi inafananaje.

Ila mwalimu wa kwaya akaja kula mzigo kilahisi na mimba juu, haikuishia hapo mama yake akamfukuza kwao harafu akanipa taarifa yaliyo tokea bibi yake akamshauri waitoe mimba ili aolewe na mimi, Hivi nimaumivu kiasi gani,
mali, nguvu, na mda wanaume tunajitoa.

Usiumie kiasi hicho bana
We sio sawa na huyo,maumivu yako niyakujitakia
Jipige kifuani mara tatu afu ujisemeee "Mimi ni fala pro max"
 
Ni mwaka wa pili sasa nipo kwenye mahusino na mpenzi wangu niliyempenda sana na kumjali. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alinionyesha tabia ambazo sizo tabia za kuchat na ma ex boyfriends wake na sio mmoja ni zaidi ya mmoja. Nilijitahidi sana kukaa naye kuongea nae na akakubali kunikosea hivyo kuniahidi mabadiliko na kweli niliyaona mabadiliko.

Toka hapo mpka leo ni mwaka na zaidi mnamo wiki iliyopita nilimtembelea mpenzi wangu nikiwa na zawadi yake niliyoinunua kwa kujibajeti kwani mshahara wangu ni mdogo na maisha ya mjini ni gharama lkn nkasema nimpatie mwenzangu hiki kidogo.

Nilifika kwao na kumkuta akiwa katika mazingira ya kuogopa nsije nkakutwa na mwanaume wake mwingine na haya niliyajua baada ya yeye kugoma kutoka nje jambo ambalo lilifanya tushinde tu ndani na muda ulipofika nilishika cm yake na niliyoyakuta basi najua mwenyewe.

Niliumia sana kiukweli sikuweza hata kuaga nilitoka na kuanza safari ya kurudi kwangu ambapo ni sehem ya mbali sana. Nilijikaza sana njian nlitaman nikae sehem nipate ata bia nisahau lkn nkasema hapana ngoja nirudi home tu. Nashukuru nipo likizo mana nisingeweza ku perfom kazini naumia kwa aliyoyafanya mpenzi wangu sikuwahi kuwaza kama tutaachana lakini sina jinsi sio fungu langu mana angekuwa fungu langu asingenisaliti.

Sasa nipo single naishi kiupweke nimezoea meseji zake kila mara nmezoea utani wake mara kwa mara lkn sasa nipo tu najaribu kujifariji lkn kuna muda nashindwa nmefuta picha zake na kila kitu chake. Sina raha kabisa japo siwezi tena kurudiana naye hata akiniomba msamaha.

Nimeumia kweli mtu ambaye kila mara nawaza juu ya ndoa yetu nawaza tutaishije badae nawaza watoto wetu badae wataishije najibana nipate kidogo nimuoe leo hii ananisaliti ni maumivu sijawahi yapata ndugu zangu.

Nenda tu baba
 
Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom