Nimesahau wallet

Nimesahau wallet

Jenu

Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
70
Reaction score
44
Mnaboa sana nyie wanaume vijana,yani hamna maana,hamna lolote ndo maana tunawaacha,mnakwepa majukumu yenu,ndo maana vibabu vipo kwenye chat na tutazidi kuvisifia jinsi vilivyo makini,

KUNA SIKU NILITOKA OUT NA MWANAUME KIJANA,KABLA HATA HATUJAFIKA SEHEMU HUSIKA AKAANZA KUJISACHI,MARA KIDOGO AKANIAMBIA BABY NIMESAHAU WALLET HALAFU SIO MARA YAKE YA KWANZA,HALAFU KAPANDA GARI YANGU NILIPATWA NA HASIRA NIKAMSHUSHA NJIANI TENA ILIKUWA USIKU NA NDO UKAWA MWISHO WA UHUSIONO WETU ,

NARUDIA KUSEMA WANAUME MNAOPENDA MTEREMKO TUMEWAGUNDUA,HATUTAWAENDEKEZA.
DOCUMENT KWANZA MZIGO BAADAE
 
Jenu umevurugwa!
 
Last edited by a moderator:
Uhusiano wa wallet yake na safari yenu ilikuwaje???!!!!
We si una yako???!!!
Kulikuwa na ugumu gani kuirudia kama ilikuwa muhimu???!!!!

Akasahau waleti na ukawa mwisho wa uhusiano wenu!!!!!!!!!!??????????

Oooonh nikamshusha kwenye gari yangu hooooovyoooooooo si ungemwambia unauza tangu mwanzo ili ajipange!!!!!!!

Chefuuuuuuuuu kabisa polite pros.t.itute
 
Mumesikia nyie wanaume vijana?

Waacheni wadogo zetu bhana kama mtu anauza aweke wazi tangu mwanzo,kwani kusahau wallet si inatokea tu kama tunavyosahau leseni,si analipa tu then mna offset!!!!!
 
Mumesikia nyie wanaume vijana?

Naona hii haituhusu sisi wanaume watu wazima!Tena nadhani mods sijui waanzishe jukwaa lao maana kila siku malalamiko kwa hao vijana,mara hawawafikishi kunako Mlima Kilimanjaro,kila siku kuna jipya kwa hawa vijana.
 
hawajui mashine inahitaji service

Ni kweli lakini sio kuvunja uhusiano kisa walet was forgotten!!!!

Alijikopesha mafuta akajua atakula na kunywa,duduz na atalipwa ndo maana hadi akamshusha kwenye gari kwa hasira!!!!! Na alimkuta mpole huyo au mariooo

Jamani kama inauzwa price tagging ndio mpango mzima
 
yeye kila mtoko anasahau wallet ng'astuka tena angemshusha kwa makofi.
Wanaume mchelemchele shida sana
Waacheni wadogo zetu bhana kama mtu anauza aweke wazi tangu mwanzo,kwani kusahau wallet si inatokea tu kama tunavyosahau leseni,si analipa tu then mna offset!!!!!
kama huwezi kulipia outing hata familia hutaweza kuihudumia
 
yeye kila mtoko anasahau wallet ng'astuka tena angemshusha kwa makofi.
Wanaume mchelemchele shida sana
kama huwezi kulipia outing hata familia hutaweza kuihudumia

Inawezekana kaiacha makusudi sababu ya mizinga ya huyo gold digger sasa we huoni ajabu yeye dada anakerwa na tabia ya kusahau wallet tu???!!!!Mapaka thread kabaaaang!!!!!!

Kama anauza aseme tu ugumu uko wapi????!!!!
Ikifika wakati wa familia si watu hujadiliana au kwako mume ATM???!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom