Sawa mkuuComputer/laptop, simu, vitambulisho, kadi za Benki, nk,
Unakuwanavyo bega kwa bega,
i.e, ukikaa viko mapajani, ukiamka viko begani(bila shaka ndani ya begi).
Kamwe usiweke hata ndani ya sanduku. Kama kupotea viwe detached forcebly from your body(unyang'anywe kwa nguvu)
Ndiyo mkuu, mpaka leo nimeitunzaUna tiketi ya bus hilo
Ova
Mkuu mimi sisemi uongo kwa sababu haunisaidii kupata mzigo wangu. Ninaposema demu wake ni kwa sababu niliambiwa na mfanyakazi wao niliyemkuta ofisini. Sina sababu ya kusema uongoChalinze Kuna kipi kinachoweza kukufanya usahau begi lenye kompyuta?
Wewe unataka kuharibu sifa nzuri za dereva wa Frester.
(Eti ana demu wake na walilala humo humo, unafikiri mke au watoto wa dereva wakisoma huu uongo watafurahi)
Kwa nini useme ni demu wake? Je Kama ni abiria Kama abiria wengine ameomba hifadhi kwa sababu Hana hela ya gesti?
Usipende kuharibu sifa za wengine kwa uchokoraa wako wa kuwahi vipusa vya Chalinze.
Ni kweli hana wa kumlaumu lakini kwa nini Jamii msiwalaumu na hao wanaoiba, kwani kuiba ni ushujaa, kwamba kwa kuwa tu Mtu kaacha Mali yake basi una haki ya kujimilikisha?.Kwanini uliposhuka tu chalinze na kugundua umesahau begi hukufanya taratibu ya kuwasiliana na wakala wa frester hapo chalinze akupe mawasiliano ya hilo basi lao lililoelekea Morogoro wakuangalizie begi lako? Pole huna wa kumlaumu ila ww mwenyewe
Mkuu ni bahati mbaya, nimesha safiri sana na bus lakini sijawahi kusahau mzigo wangu hata siku mojaKwenye basi mzigo unaoingia nao ndani ni dhamana yako isipokua ule wa kwenye buti ndio dhamana yao, unashukaje unasahau begi kwenye gari? Kama uliweka kwenye staff carrier kwa nini usijiandae na uandae mzigo ndio ushuke? Imekula kwako
Ndiyo mkuu, nina tiketi yao.NIMEKULIZA MKUU ,UNA TICKET YA HILO BASI
ova
Usidanganyike. Narudia usidanganyike. Utapoteza fedha zaidi. Watanzania wengi ni wezi.Mkuu nipe connection
Mkuu haikuwa route rasmi. Ilikiwa usiku kukaribia saa mbili. Kwa taarifa isiyo rasmi ni kuwa gari ilikuwa inatoka dar garage.Hakuna Frester ya Dar Moro mkuu, hakuna kabisa. Tuanzie hapo kwanza.
Ulipanda bus gani?
Hapana mkuu, sikuwa na mzigo mwingine sema nilikuwa na mawazo sanaKwani mkuu ulikuwa na mzigo mwingine zaidi ya hilo begi lenye computer?
Mkuu sina nia ya kumchongea mtu, lengo ni kupata mzigo wangu kwa njia yoyote.Huyo dereva na konda unawaonea tu mwaisa.
Na dereva umemchongea kusema amelala na demu humo.
Sijui ni hasira za laptop. Ukute na wewe ulikuwa na kidemu kikakuchanganya.
[emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787]
Watu wengine wanajiandikia chochote bila hata kutafakari. Kusahau inatokea kwa kila mtu na sidhani kama ni ajabu sana. Begi itakuwa shida kulipatav kwa sababu hata kama ni dereva/konda alilipata, anajua kabisa sheria haiwezi kumbana. Hapa ndiyo tunaona umuhimu wa kuwa na kamera kwenye magari ya abiria.Hapana mkuu, nilikuwa na mawazo sana
Kabisa mkuu, ubarikiwe. Siyo sahihi kuwa abiria akisahau mzigo basi ni haki kuibiwa kwa sababu tu mzigo wa ndani siyo dhamana ya kampuniNi kweli hana wa kumlaumu lakini kwa nini Jamii msiwalaumu na hao wanaoiba, kwani kuiba ni ushujaa, kwamba kwa kuwa tu Mtu kaacha Mali yake basi una haki ya kujimilikisha?.
Tuwe pia tunawakumbusha Watu wanaochukua visivyo vya kwao kwamba wasitarajie maisha yaliyo na baraka kwa kudhulumu Wengine.
Sawa mkuuUsidanganyike. Narudia usidanganyike. Utapoteza fedha zaidi. Watanzania wengi ni wezi.
Kweli mkuu. Ila nimepata hasara sana. Kwani nina project za watu wengi na wengine walishalipa pesa zao. Sijui hata nasema/nafanya nini.Watu wengine wanajiandikia chochote bila hata kutafakari. Kusahau inatokea kwa kila mtu na sidhani kama ni ajabu sana. Begi itakuwa shida kulipatav kwa sababu hata kama ni dereva/konda alilipata, anajua kabisa sheria haiwezi kumbana. Hapa ndiyo tunaona umuhimu wa kuwa na kamera kwenye magari ya abiria.
Kweli mkuu. Ila nimepata hasara sana. Kwani nina project za watu wengi na wengine walishalipa pesa zao. Sijui hata nasema/nafanya nini.
Jaribu kumbembeleza dereva umwambie utatoe dau kubwa. Dau likiwa kubwa kuliko kitakachopatikana kwa kuuza vilivyomo ndani ya begi anaweza kushawishika. Lakini ujifanye kumwomba afanye uchunguzi na usionyeshe kuwa yeye anahisiwa.Kweli mkuu. Ila nimepata hasara sana. Kwani nina project za watu wengi na wengine walishalipa pesa zao. Sijui hata nasema/nafanya nini.
DuhNenda kwa mganga Cha mtu hakipotei bure