Kwani mkuu ulikuwa na mzigo mwingine zaidi ya hilo begi lenye computer?kampuni ya Frester nikaamua kushukia Chalinze na kusahau begi langu lenye computer na vitu vingine
Mzigo wa ndani yagari sio jukumu la wafanyakazi wa bus kwenyesafari husika kulinda ni jukumu lako abiria mzigo wakwenye buti ndo jukumu langu kondaUna tiketi ya bus hilo
Ova
Asante mkuuPole mkuu
Haikuwa route rasmi. Ilikuwa ni usiku kama saa mbili kasorokumbe kuna frester za Dar Moro
Mkuu nipe connectionNenda kwa mganga Cha mtu hakipotei bure
Kiaje mkuu, sijakuelewaGPRS itakusaidia.
Kabisa mkuu, maana wakati wa kupanda mimi nilikuwa abiria kama wa pili kupanda. Ndiyo maana siamini kuwa abiria ndiye kaiba hilo begiSio rahisi mtu kuchukua begi ambalo hamjui muhusika wake ni nani!
Begi lako itakua lilichukuliwa mwishoni kabisa mwa safari baada ya abiria wote kushuka na begi lako kubaki peke yake,uchunguzi wa Polisi uanzie hapo.
Mkuu nilifanya hivyo ila kila namba niliyopiga muhusika alisema ameshaacha kazi kwenye hiyo kampuni. Mwisho nilimpata muhusika akasema yuko mbali kidogo.Kwanini uliposhuka tu chalinze na kugundua umesahau begi hukufanya taratibu ya kuwasiliana na wakala wa frester hapo chalinze akupe mawasiliano ya hilo basi lao lililoelekea Morogoro wakuangalizie begi lako? Pole huna wa kumlaumu ila ww mwenyewe
Kweli mkuu, lakini nilipiga simu kwa namba karibu zote bila mafanikio. Maana nililuwa na tiketi na kwenye tiketi kuna namba zaoangepiga simu mapema ingesaidia sana...!! ila kwenda na abiria washashuka hapo ni ngumu mno na alielibeba amedhamiria kuliiba
Nipe connection mkuumroge tu
Mkuu nilifanya mawasiliano kwa namba zao zoteUlivoshuka chalinze ungetoa taarifa kupitia mawakala wao wa hapo chalinze umefanya uzembe pia wew mwenyewe
Hapana mkuu, nilikuwa na mawazo sanaUnasahau begi lenye compyuta ndani ya gari?
............Ulikuwa na mizigo mingi sana...!???