Nimesababisha taharuki kwa vibaka usiku wa jana

Salamu...
Uungwana wangu ninaotoka udogoni, sijala cha mtu na sipendi dhulma, achilia mbali kuonea mtu
Jana niliamua kunyoosha miguu kidogo, kuanzia saa 12 jioni nikawa nafanya mazoezi ya kutembea, nikakatiza mitaa kadhaa....
Aaaah weeeh utakuja kubakwa na huo mdomo wako mrefu kama rocket
 
2cfd712fc421ca03cb1cd981ce7100d6.jpg
 
Salamu...
Uungwana wangu ninaotoka udogoni, sijala cha mtu na sipendi dhulma, achilia mbali kuonea mtu
Jana niliamua kunyoosha miguu kidogo, kuanzia saa 12 jioni nikawa nafanya mazoezi ya kutembea, nikakatiza mitaa kadhaa...

Mpaka saa 4 nikawa sijarudi bado nyumbani, nilipitia baa fulani nikapata chakuka kidogo... nikawa naanza safari mdogo mdogo huku natembea tu mwendo wa kawaida.

Nafika junction nakuta vijana wametulia tu wanaongea, walikuwa kama 3 hivi kwa haraka haraka... wakawa wanapeana kama ishara za kuitana baada ya kuwakaribia kabisa kwani walikaa barabarani tu.

Wakawa wanakuja kasi wakaniweka mtu kati, naangalia kwa mbali naona wengine kama 6 hivi wanakuja...tena kwa kasi, nikasema nitajeruhiwa hapa.

Wale watatu walikuwa wachache kwangu kuwamudu.. nikaanza na wale waliokuwa wanakuja, muda huo ilikuwa saa saba kasoro usiku.... walikuwa wamepanda piki piki mbili na wakasimamisha wakiwa mbali kidogo... nikaanza kuchukia.

Bila kujitambua macho yangu yalitoa mwanga mkali kama wa lather kali, mwanga huu ukikufikia unakukata... nikamkata mmoja kidole mwingine nikamtoboa bega na miali hii.

Zikaanza taharuki, wakakimbia wote.... wale watatu wakaanza kuogopa nao, nikawatazama miguuni aisee nikawatoboa toboa hovyo mno miguu yao.

Nikawauliza nyie ni nani? Waksema sie ni vijana wako kaka.. nikawauliza vijana wangu wa wapi? Wakajibu hutuonagi kaka? Tunakulindiaga geti pale nyumbani
Ukimya ukapiita km dk 2, nikaunguruma mno

Sikuongea lolote nikawa naondoka... mbele ya upeo wa macho yao kwakuwa hawanijui nikapotea mbele yao.... Aisee nilisikia vilio vya sauti kuu wakati nakata upepo...

Asubuhi ilikuwa ni taharuki kubwa..
Nikajikausha kama sio mimi
Watu wakawa wanasema vibaka wamekamatwa wametobolewa mabega na miguu, mara wamekatwa vidole nk, ukweli ni mimi niliwawajibisha.

Vijana fanyeni kazi.
Mkuu sina vitafunwa lakini ngoja niinywe hivi hivi hii kahawa
 
Back
Top Bottom