Waoga ni wanaume wa DarKipi ulichokimis kutoka kwangu?
Wanaume jiandaeni baadae nawalipua,mmenifika kooni
Usiombe kua na mwanaume muoga maishani kwako yani ni kero tupu. jianaume oga ni hasara kwa familia,jamii jwa ujumla...
Asilimia 98 ya wanaume tanzania ni waoga sana,hawana guts kabisa,hawana challenge yoyote ni midunya ya ovyo kabisa
Daa upo ww mdada?Umeshiba mwenyewe[emoji23][emoji23].
Upo sahihi babyNimechekaaa [emoji23][emoji23][emoji23] asilimia 98 ni waoga.
Wa kwangu lazima atakuwa kwenye hizo asilimia 2.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sawa. HongeraNa kusaza hadi nimekumbuka mistari ya mwana mpotevu
Ndiyo nimejaa tele[emoji23][emoji23].Daa upo ww mdada?
Better off[emoji39]Sawa. Hongera
Eeh, no longer focused on yesterday!Better off[emoji39]
Kweli eehUpo sahihi baby
Yesterday in archives[emoji1735]Eeh, no longer focused on yesterday!
Kwenye iyo buku 10 iliyobakiaDone..
Enjoy your meal..!
6DI028J0EHA Imethibitishwa. Tsh22,000.00 imetumwa kwa TTCL PESA kwenye akaunti namba 2557xxxxx tarehe 20/6/19 saa 13:56PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh10,167.00.
SureeeKweli eeh
mbona mna tuonea sana wa dar mkuuWaoga ni wanaume wa Dar
Sisi wa mkoa sio waoga
Naomba nije PM yako tafadhali
Weka namba.Kwenye iyo buku 10 iliyobakia
nipunguzie buku 2000 nijichukulie themosi nzima ya kahawa kwa ankal Hussein hapa tandale kwa tumbo mkuu.
nimesahau uongezee na 500 ya vishata
We Edelyn wewe, haiwezekani mwanaume akawa na tabia mbofu mbofu pasipo kuwa na mkono wa mwanamke....nyie ndiyo huwa mnatutia kwenye dhambi tangu mwanzo enzi za Adamu na Eva....na hata maandiko yanatukumbusha tuishi na nyie kwa akili sana, unajua kwanini?Mnapojifananisha na Kristo msijifananishe nafasi tu bali mjifananishe na matendo pia Kristo hajawahi kufanya ujinga kwa kanisa lake hata limkosee vipi ila wanaume mnafanya ujinga kwa wanawake
Asante kwa offerWeka namba.
Asante mkuu. Karibu pia siku nyingine ukihitaji kweli.Asante kwa offer
nilifikiri ndio wale hata wakiwa nacho hawawezi wagawia waume ama boyfriend zao. lakini kwa hili hata siku akiwa hana naamini atafurahi
wakishua; thanks once again kwa offer
ntakaribia mkuu!Asante mkuu. Karibu pia siku nyingine ukihitaji kweli.