ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,461
- Thread starter
- #21
umeona eeeee watu wengine bhana wanafikiria vingine kwelikweliAfadhali umemjibu,maana alinichimba mkwara mwingi sana.
umeona eeeee watu wengine bhana wanafikiria vingine kwelikweliAfadhali umemjibu,maana alinichimba mkwara mwingi sana.
ladyfurahia kitambo kweli dada. Miss you. Mzima? Ukimwona sweetlady mwambie nampa tano.HABARI
Wadau muwazima
Ni kitambo tumekosana humu mjengoni maana hizi pilikapilika za maisha acha tu bwana zimeniendesha mpk basi
niliwamiso sana hasa wale wadau wa enzi zile akina Bujibuji Asprin Madame B snowhite Husninyo Mtambuzi KakaKiiza
Khantwe lady general na wengine wengi mpaka nimesahau majina aisee kitambo kwakweli mpogo kweli
wengine wamebadiilika na wengine hawako duniani hasa bestito warumi (RIP BESTIE) nitakumiss sana hasa
NIMEFURAHI KUWEPO TENA NAWAKUMBUKA NA NIKO MJENGONI LETENI ISSUE
Wasalaamu
Mama mfundaji
Ladyf yuleyule asieye na mpinzani
Karibu sana
Nimepata demu mpya, anasema jina la Bujibuji limetumiwa Sana na ma slay queen, Sasa ametaka jina ambalo atali DEFLOWER yeye mwenyewe.Eeehh una jina jipya Bujibuji
Ha ha ha.. hiyo deflower sasa mweeeh..Nimepata demu mpya, anasema jina la Bujibuji limetumiwa Sana na ma slay queen, Sasa ametaka jina ambalo atali DEFLOWER yeye mwenyewe.
Nimekubaliana na terms na conditions zake
Hahahahahah. Mahaba Niue. Natafta wa kumbadilisha jina na mimiNimepata demu mpya, anasema jina la Bujibuji limetumiwa Sana na ma slay queen, Sasa ametaka jina ambalo atali DEFLOWER yeye mwenyewe.
Nimekubaliana na terms na conditions zake
Hahahahahah. Mahaba Niue. Natafta wa kumbadilisha jina na mimi
Hahahahahah.NIbadilishe Tena, niwe BUJIHUSNINYO
zimefika bestito yaani nimewamiss sana sijui uko wapi tuonane bestito yaani sasa sijui kama sweetlady yuko wapi na FirstLady1ladyfurahia kitambo kweli dada. Miss you. Mzima? Ukimwona sweetlady mwambie nampa tano.
nimeoteshwa kitu nikwambie?Nipo mamii...
Kuna zawadi unataka nipa?
heeeeeeeeee upo kweli jamani shem nataka kuonana nawe live nambie basiHa ha ha.. hiyo deflower sasa mweeeh..
mbona umebadili jina tena kuna nini kimekupata?NIbadilishe Tena, niwe BUJIHUSNINYO
Ndio. Utaipokea? HahahNipo mamii...
Kuna zawadi unataka nipa?
Ndio. Utaipokea? Hahah
Niambienimeoteshwa kitu nikwambie?
NGOJA NIKWAMBIENiambie