Nimerudi tena

HABARI

Wadau muwazima

Ni kitambo tumekosana humu mjengoni maana hizi pilikapilika za maisha acha tu bwana zimeniendesha mpk basi
niliwamiso sana hasa wale wadau wa enzi zile akina Bujibuji Asprin Madame B snowhite Husninyo Mtambuzi KakaKiiza

Khantwe lady general na wengine wengi mpaka nimesahau majina aisee kitambo kwakweli mpogo kweli

wengine wamebadiilika na wengine hawako duniani hasa bestito warumi (RIP BESTIE) nitakumiss sana hasa
NIMEFURAHI KUWEPO TENA NAWAKUMBUKA NA NIKO MJENGONI LETENI ISSUE

Wasalaamu
Mama mfundaji
Ladyf yuleyule asieye na mpinzani
ladyfurahia kitambo kweli dada. Miss you. Mzima? Ukimwona sweetlady mwambie nampa tano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom