ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,568
Mabestitooooooooo
Nimewamisije mwadila bandugu natumai mko wazima sana na mnaendelea vyema na shughuli zenu
Mwenzenu BADO NATAFUTA UMAARUFU WA JF yaani ni kitambo nimezima kama treni ya kati
wale washabiki wangu wako doro hawajamuona MAMA MFUNDAJI NDANI YA ULINGO wanadai
kulikoni tena mamii kala kona bila kitaarifa chochote, wengine kwa kudhubutu wameingia chemba na kunipaka ohooooo bestito mbona mwenzio analia umsapoti kahaaaa nikabaki nimeduawaaa nusu mtalimbo ushuke kwanin analia na nani analia si nikamuuliza mwekundu ati bestito nani analia saa hizi mwekundu hana jibu naye ananishangaa , nikaja kwa mshambenga wangu aliyenipaka weeee naniiiii Passion Lady na huyu ni cousin wangu ujue nikamuuliza nani analia kheeee asinishangae kwanini ati unasema cousin nikabaki nimeduawaa nisijue ligi limeanzishwa na nani nikaja kugundua kuwa aliyeanzisha alikuwa babu @Asprini ati babu na mvi zako iweje unaniambie mwenzangu analia nani huyo anayelia akabaki kusema wee si uliniita kwenye ule muhtsari wa habari nene iliyoshtua mkuu wa kaya akaja kusema wazi mbele ya kadamnasi eti hajui chochote nikawa nashangaa
kulikoni kimetokea hicho mpaka naandika hapa wadau mama lao niko hatua mbele nyuma bado sijawapa somo la ufundaji nashadidiwa eti nautaka UMAARUFU WA JF tangia lini mm nikawa nautaka umaarufu wakati mm mwenyewe nsahakuwa maarufu kitambo sana nnimewashangaa wambea wale wamenistaajabisha kwani umaarufu nikiutaka siupati eti babu Mtambuzi au
papaaaa Nyani Ngabu niambie siupati UMAARUFU WA JF? si mpaka ahapa nilipo nishaupata
cousin charminglady siupati kwani nimeshaupata mm nawashangaa wanaonishangaza
muwe na siku njema wadau wangu nitakuja soon na SOMO langu na UFUNDAJI WANGU NIKO NJIANI
Wasalaamu
ladyf