Nimerudi Shkamoni

Bubu Msemaovyo

Platinum Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,189
Reaction score
3,550
Kaka na Dada zangu na ndugu wote wana JF kwa kweli ni kipindi kirefu sana nilipotea na sasa nimerudi nawaamkia Shkamooooniiii
 
[SIZE=3 said:
Bubu[/SIZE] Msemaovyo;1625439]Kaka na Dada zangu na ndugu wote wana JF kwa kweli ni kipindi kirefu sana nilipotea na sasa nimerudi nawaamkia Shkamooooniiii


:welcome::welcome::welcome:
 
Nilijuwa siku zote Bubu Ataka Kusema ndio wewe umebadili ID, kumbe ulitoka karibu sana!
 
Oooh, marahaba, marahaba, marahaba kijana... karibu tena. Lakini chunga sana, kuna watu humu suiku hizi wanapata mihemuko kwa kuangalia picha za kwenye avatar tu, kwa hiyo usishangae reactions za baadhi ya watu
 
Du!!!!,
karibu sana lakini hilo jina na avatar yako...????,
Ningeona Avatar pekee ningesema ni Mrembo ataka kusema..
Anyway since wewe ulikuwa hapa 2007 naomba unikaribishe na mimi.....
 
Heshima kwako Bubu Msemaovyo,

Karibu sana BM tumemiss michango yako ni muda mrefu tangu uondoke itakuwa ni vigumu kukupatia kila tukio kipindi ulichoingia mitini lakini si vibaya nikikufahamisha siku hizi jukwaa limevamiwa na serengeti boys wengi wanchafua hali ya hewa kila mara hawapendi kujenga hoja wanapenda kulazimisha hoja hata kama haina mashiko.
 
Kaka na Dada zangu na ndugu wote wana JF kwa kweli ni kipindi kirefu sana nilipotea na sasa nimerudi nawaamkia Shkamooooniiii

Daaa mkuu menikumbusha looooong kweli.......miss sana wewe yaani aisee.....! nimekupa hiyo kitu hapo chini: NB nilikuja kivingine hapa bt wa long pia....!ha!ha!ha!

The Following User Says Thank You to Bubu Msemaovyo For This Useful Post:

Taluma (Today)​
 
Marhaba marhaba, mwanampotevu :coffee:
 
Marahaba mtoto mzuri. Haujambo eeh?
Hawajambo ulipotoka?
Haya karibu eeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…