Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
unaona sasa mambo yako bado we mgeni tayari ushaanza kummezea mate ila karibu sana sisi tupo kote kote kwani ni kazi na dawa karipoti kwa rais wetu Arushaone atakupeleka kwa miss wetu Lady doctor tafadhali usimchombeze huyo mtoto kwani namzimia sana hadi sasa nimepeleka barua kwa ukoo wa watu8 cjajibiwa kwahiyo naomba itifaki izingatiwe.
haaaaaa... bily, kwani hujui mbali na uMISS mie ni FIRST LADY wenu humu mjengoni??
Last edited by a moderator: