Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,541
- 30,097
- Thread starter
- #21
karibu sana
Ahsante Honey.......
karibu sana
Eeei...ndoa imekua ndoano sasa mwenzio
Oooh! Haleluya...usijali njoo uku tuongee vizuri
Ulikuwa umeolewa....? Na nani huyo mshamba nayekutesa moyo wako...?
Ulikuwa umeolewa....? Na nani huyo mshamba nayekutesa moyo wako...?
couple za kule ni mwendo wa upinzani vs tawala, masalia/wapenda mabadilko vs wafahidhina, team Lowassa vs team Membe n.k kule hakutabiriki kabisa kule hadi wanandoa wa CC wanatofautiana ....si ajabu Madam B na Ben sanane wakatofautianaKaribu tena , hivi huko Siasani hamnaga couple?
A,a bado sijaolewa...wasinipeperushie njiwa wangu buree!
Habari za leo waungwana .....
Kichwa cha habari kinajinasibu chenyewe....Sasa nimeamua kurudi rasmi nyumbani....Baada ya kukaa kule Siasani nimeona ni mateso makali na stress zisizo isha....
Kwa moyo mkunjifu nimeama kurudi uwanja wangu wa nyumbani....
Nipokeeni mwanampotevu....
Cc: Erickb52 nahitaji mke na mimi...
Ahsante Honey.......
Kule ni kucheza na Ban mkononi! ndio maana Arushaone akimwambia Lady doctor waende wote, bibie hataki hata kuskia!