Nimerudi rasmi nyumbani Chit Chat...

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
37,526
25,734
Habari za leo waungwana .....

Kichwa cha habari kinajinasibu chenyewe....Sasa nimeamua kurudi rasmi nyumbani....Baada ya kukaa kule Siasani nimeona ni mateso makali na stress zisizo isha....

Kwa moyo mkunjifu nimeama kurudi uwanja wangu wa nyumbani....
Nipokeeni mwanampotevu....

Cc: Erickb52 nahitaji mke na mimi...
 
Last edited by a moderator:
Karibu karibu tedo pole na dhoruba ya kukunja ndita siasani.hapo kwenye mke muone baba v. Anazo recod ya masingel gall wote humu ndani.


Cc arusha one
 
Ha ha haaa poleee. Siasani ni hatare. karibu sana.

Sasa niko na amani....Tafadhali nipe habari za huku nyumbani...Nini kimetokea, kilochopo na kitakacho kuja....Maana sielewe naona kunashamrasharma sijui ni za ubarikio...!!!
 
Karibu mwaya,labda we unaweza ukawa kipoozeo. Nimechoka mateso bila chuki...
 
Karibu karibu tedo pole na dhoruba ya kukunja ndita siasani.hapo kwenye mke muone baba v. Anazo recod ya masingel gall wote humu ndani.


Cc arusha one

Nitamtafuta mwenyekiti babav

Ila nasikia kapinduliwa....Nijizeni nini kinaendelea hapa....?

Nimechoka kuwa spea tyre Cc: madameb
Nataka nimiliki wangu..
 
Last edited by a moderator:
Nitamtafuta mwenyekiti babav

Ila nasikia kapinduliwa....Nijizeni nini kinaendelea hapa....?

Nimechoka kuwa spea tyre Cc: madameb
Nataka nimiliki wangu..

ngoja nitume akaangaliwe pale kwa muuza kahawa aje ajibu mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom