Nimerudi nyumbani

Nimerudi nyumbani

Hahaha
Karibu sana kijana wangu Lucas
Tulikumiss sana humu...hope ukipata mke nitakupa usaidizi kwenye kamati yangu ya mahaba na nahusiano.

Sasa kwani siku hizi utaratibu wa ndoa ikoje hapa?
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kukosekana hapa kwa muda mrefu, ndugu zangu leo nimeona niwajulishe kuwa nimerudi rasmi na nitaendelea kuonekana mitaa hii ya nyumbani.....

nataraji ushirikiano mzuri. Nimeshtuka kuna baadhi wanauliza smilining saint
a.k.a wood pecker yuko wapi? napenda kuwajulisha ni mimi nipo na sasa naitwa Lucas.


Nawatakia siku njema
cc Erickb52, manoah, Mr Rocky, Arushaone, Asprin et al



Welcome back kamanda! Huyo aliyevaa red sijamtia machoni muda mrefu sana!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom