Nimerudi nyumbani

Nimerudi nyumbani

...yani shem usitake kujua mengi...karibu tena.

Ahsante nimefika, halafu blaza eliki ameniruhusu niwe nakuja na mkuki nyumbani
Nikiuweka pale mlangoni yeye siku hiyo.haji sawa shemeji? Erickb52 usisahau mila zetu waarusha
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la kuzaa watoto wengi
kumbe ndo maana wakasema
watu waangalie nyota za kijani
ili wasisahau umri wa watoto waliozaa wenyewe.

Sore bebi wangu.

Ah ah ah ah mama umesahau mwanao?
 
Ha ha ha ha haaa,hapana taka hiyo,lols!
Ahsante nimefika, halafu blaza eliki ameniruhusu niwe nakuja na mkuki nyumbani
Nikiuweka pale mlangoni yeye siku hiyo.haji sawa shemeji? Erickb52 usisahau mila zetu waarusha
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la kuzaa watoto wengi
kumbe ndo maana wakasema
watu waangalie nyota za kijani
ili wasisahau umri wa watoto waliozaa wenyewe.

Sore bebi wangu.

Shikamoo mama, nimepokea sore yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom