Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,388
Zipo nzuri za bei hiyo Milimani City. Sheria ya pete ni kwamba inatakiwa kua around 1/8 ya salary yako ya mwaka. Mfano, kama una pokea laki 2 kwa mwezi, annua salary ni 2.4 million, huvo pete inatakiwa kua laki 4 (at least)... Si unajua wazungu hawatoi mahari? huo ndio mtihani mkubwa kwa wanaume wanao taka kuoa.
Ni bora zaidi kumfanyia surprise kuliko kumtaarifu.
Kila la kheri!
Ni bora zaidi kumfanyia surprise kuliko kumtaarifu.
Kila la kheri!