Nimeridhika na binti nataka nimvishe pete

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Nimekuwa katika uhusiano kwa mwaka sasa na hatimaye nimeridhika na huyu binti awe mke wangu wa ndoa.
Naitaji nimvishe pete ya uchumba ingawaje sijamfahamisha itakuwa ni wakati gani.

1. Pete nzuri za kawaida naweza pata kwa tsh ngapi? nimeanda 100,000
2. Na kwa wale wa DSM ni wapi naweza zipata?
3. Je ni sahihi kum suprise ama nimtaarifu siku husika?

Hii nimeipanga iwe januari 15 2012
 
mpeleke sehemu nzuri kama hoteli moja nzuri yenye utulivu,mkiwa wawili tu mmeorder dinner ndio upige goti na kumvalisha na kumwomba ruhusa uwe mumewe....all the best.
 
mie sizijui sehemu ila kwa pesa hio uliyoiandaa nadhani utapata pete nzuri tu.....
 
sio sahihi bora umwambie mana waweza pata aibu bure pale atakapo kataa mbele ya kadamnasi
ni bora ujiaminishe kwanza ndio ufanye ivo la sivo utaumbuka meeeeeeeen
 
  • Thanks
Reactions: BPM
sio sahihi bora umwambie mana waweza pata aibu bure pale atakapo kataa mbele ya kadamnasi
ni bora ujiaminishe kwanza ndio ufanye ivo la sivo utaumbuka meeeeeeeen
Nafikiri si rahisi yy kukataa kwani amekuwa akiniuliza pia kuhusu hili... nway shukrani geeeeeeeeeeeeeel
 
mpeleke sehemu nzuri kama hoteli moja nzuri yenye utulivu,mkiwa wawili tu mmeorder dinner ndio upige goti na kumvalisha na kumwomba ruhusa uwe mumewe....all the best.
Duuuh hii itabidi niifanyie mazoezi teteteeehh
 
Katika maongezi yenu jaribu kuanzisha mjadala wa ndoa upate mawazo yake. Muulize ana.mawazo gani kuhusu ndoa, lini anadhani anaweza kuwa tayari kuingia, vipi anakufikoria wewe and so. . . so.

Kama mtazamo wako uko chanya kanunue hiyo pete umvishe, kama sio ipe muda umsome zaidi.Usitake kuabishwa mbele ya kadamnasi.
 
Mkuu, nadhani gramu 1 itakuwa kwny tsh 80,000. jipange angalau uweze kununua gramu 2, zinapatikana kwenye sonara nyingi tu pale mnazi mmoja karibu na mnara wa saa, au nenda kwa nchimbi yupo magomeni mapipa.
 
Nimefanya hivyo tayari... yuko tayari
 
Mkuu, nadhani gramu 1 itakuwa kwny tsh 80,000. jipange angalau uweze kununua gramu 2, zinapatikana kwenye sonara nyingi tu pale mnazi mmoja karibu na mnara wa saa, au nenda kwa nchimbi yupo magomeni mapipa.

sawa mkuu.. nitajipapasa kwa hiyo 150000
 
Pete huvalishwa baada ya mahali kulipwa au siku ya mahali! mambo ya suprise sio mazuri katika hili.
 
Ndivyo utaratibu ulivyo????/ mi najua ikifika wakati wa mahali hapo ni ndoa mkononi mpango wa kuoa ni june/july
 
.......Umeshatoa posa? Mahari je? Raha ya pete uvishwe siku ya kutoa mahari..........mbele ya wazazi na ndugu. Sasa sijui utaratibu wa kwao huyo dada, ila ingekuwa vizuri kufanya utaratibu na makubaliano ya ndoa ili pete mvishane kiheshima.
 
OK ni ushauri mzuri nitamdodosa kwanza nione kwao huwa inakuwaje Thanx
 
Kaka ushauri pekee katoe mahali tamaduni zetu zipo kushoto sana...wakati unatoa mahali ndipo unapozihirisha upendo wako kwake kwa kumvika pete mbele ya familia yake na hapo unakua na kama 6months za kujiandaa na harusi mkuu
 
Back
Top Bottom