Nimerejea rasmi CCM!

Nimerejea rasmi CCM!

CCM is EVIL,CCM is ILLUMINATI,many cant see due to illeteracy and low IQ.
 
Are you ready for dissapointments?
Binadamu kama binadamu hakamiliki by 100% ni kweli yapo mambo machache madogo madogo yanashindwa kukamilika kwa wakati lkn isichukuliwe kama ni nongwa ya "to be prepared for disappointment kwa kila jambo hapana!TUKIJENGE CHAMA CHETU TUKIKOSOE TUKIREKEBISHE
 
Mpendwa mwajiri, serikali, familia na wengine wote mnaonihusu.
Kwa kutambua kuwa world cup ni ya dunia nzima basi tusaidiane kama ifuatavyo:
1. Boss ukiniona nasinzia ofisini tuamshane tu kwa upole
2. Nikichelewa kufika kazini boss mwezi huu tusameheane tu kwa upole
3. Muhongo umeme mwezi huu tafadhali tusikomoane
4. Mke wangu mwezi huu chukulia tu kama nimesafiri ili tusigombane
5. Chonde chonde boss safari zozote za kikazi zifanyike maeneo ya mjini na padiem boss iongezeke kidogo ili nkalale hotel zenye dstv
6. Strabag naomba barabara zote zifunguliwe ili hata nikichelewa kuamka niweze kuwahi kufika kazini
7. Boss mshahara wa mwezi huu nishikie kwanza maana ntamaliza kwa Ku bett
8. Wafanyakazi wenzangu nikija ofcn cjapiga mswaki tuvumiliane mjue nimekurupuka
9. Mchepuko wangu Tafadhali yale maneno matamu matamu cjui darling, baby ...nahisi huu sio muda wake ntakuudhi bure.
10. Police nikitukana mjue ni hasira tusameheane mwezi huu.

Mwezi huu usitufarakanishe tuvumiliane tuchukuliane ktk kila hali asanteni.

Hii inakuhusu sana mleta mada
 
CCM is EVIL,CCM is ILLUMINATI,many cant see due to illeteracy and low IQ.
WAPO WATU WACHACHE NDANI CHAMA LABDA WANAWEZA KU SI SAFI BUT HAWAJAFIKIA UBAYA WA KUITWA "THEY'RE EVIL"ni chuki zinazopandikizwa na wajasiriamali ktk kivuli cha POLITICAL PARTY
 
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI

Pumba @Work!!
 
uamuzi huu wa busara umenijia baada ya kupata dondoo chache za wajasiriamali hawa CDM Hakika USIPOLIJUA JAMBO NI KAMA USIKU WA KIZA KINENE awali nilikuwa cdm damu,KWELI MICHEPUKO HAIFAI NILIPOTEA LKN NIMEREJEA

Hiyo ndio kawaida ya malaya,hunalolote,eti nilikuwa cdm damu,kwa mwana cdm damu hawezi kwenda ccm,we ni njaa inakusumbua tu.
 
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI

Mnafiki namba moja ni yule anaye sema sekta ya Elimu imeboreshwa wakati watoto wanazidi kufeli kisa walimu wamekata tamaa baada ya serikali kushindwa kupandisha madaraja kwa wakati na kuto walipa madeni ya malimbikizo ya mishahara huku ikiendelea kuwahamisha walimu kuongeza madeni wakati ya kwanza hawajalipwa hata punguani sasa anajua kuwa Elimu ya Tanzania inapumulia mashine bado kidogo inakufa huku magamba wakiwapeleka watoto wao wakasome nje. Unafiki huu ,Mungu hautaki atakuja kuwahuku wanafiki wote hukumu moja sawa na majambazi wanao ua watu ili wapore mali zao. Mtu akisema serikali imeboresha Elimu nikisia ninatapika mpaka naumwa
 
unakula bure unalala bure!
umelaaniwa wewe nenda ocean road kaona wagonjwa wanavyotaabika
 
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI

Kwa kuwa wewe ni mp!umbavu ngoja niseme hivi.

Mabarabara yanajengwa, baada ya mwezi mmoja yanaanza kuwekewe viraka, viwango duni. Kila Mtanzania anadaiwa laki sita, deni la taifa. Vijijini barabara hakuna

Ni Maeneo mangapi Tanzania unaweza kupata maji masaa 12 kabla hayajakatika.

Wakina mama bado wanajifungua watatu kitandani, na wengine wanalala chini. Zahanati zetu vijijini hazina wauguzi, ni vijiji vichace vina zahanati

Upande wa elimu ndio hoi kabisa, wakati kenye wanasambaza kompyuta mashuleni, sisi huku tunategemea hela ya Rushwa ya rada angalau kuwapa watoto wetu shule. Sifuri sasa hivi ziro ndio fashion. Ili mwanaoa apate elimju bora ya primary, inabidi kila mwaka umlipie milioni moja na nusu private

Anyway, Viwanda vimekufa
Umeme unasuasua
Reli chali
Shirika la ndege puuuuu

Kwa tathmini hiyo, jiulize kama wewe ni Mzalendo.
 
karibu sana nyumbani ambako hakuna mtu anayetengwa na kubaguliwa kutokana na makosa ya nature ambayo ilisababisha asiwe na fikra fulani, kabila fulani, ukanda fulani na dini fulani.

CCM imejengwa katika mzizi wa Itikadi na sera zinazobainishwa katika Ilani ya Uchaguzi inayotekelezeka.

CCM kuna amani, upendo, mshikamano na furaha.
 
uamuzi huu wa busara
umenijia baada ya kupata dondoo chache za wajasiriamali hawa CDM Hakika
USIPOLIJUA JAMBO NI KAMA USIKU WA KIZA KINENE awali nilikuwa cdm
damu,KWELI MICHEPUKO HAIFAI NILIPOTEA LKN NIMEREJEA

Siku zote ng'ombe akivunjika mguu hurejea zizini,umefanya uamuzi wa busara.Karibu tena CCM,Chama dume,chama tawala.
 
Huyaoni hayo maendeleo ndugu yangu? Barabara,shule,afya,maji n.k wamejitahidi japo najua still kuna mapungufu but ukisema hamna maendeleo ndg duh unakuwa umejitoa ufahamu!

Bajeti ya Tanzania trioni 19.85, ya Kenya sawa na Tshs 33 trioni. Tofauti ya trioni 12 wakati sisi tunaongoza kwa rasilimali zote. Unahitaji kuwa chizi kuunga mkono CCM kwa kweli.
 
hivi wewe mtanzania kwa akili zako zote unaona "mchagga mbowe" anauwezo wa kulifufulia shirika la ndege,au viwanda kwa moyo mmoja?haisee Ningependa watanzania wote waishikilie amani yetu hii tusilan'gaike mungu ametujalia ardhi kubwa kuiendeleza ni lazima itatukua muda ardhi yetu sio kama ya rwanda au burundi,hivyo uendelezaji wake ni lazima utafuata hatua
 
Bajeti ya Tanzania trioni 19.85, ya Kenya sawa na Tshs 33 trioni. Tofauti ya trioni 12 wakati sisi tunaongoza kwa rasilimali zote. Unahitaji kuwa chizi kuunga mkono CCM kwa kweli.

Hujui unachosema siku ufahamu ukikurudi utajitambua na kurudi njia kuu
 
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI
Rudisheni zile billioni 20 alizokwapua singasinga na TANROADS majuzi
 
CCM PHASE II PARTY CONVENTION ON GRASSROOT TO NATIONAL LEADERS RESPONSIBILITES UNDER WAYS,dosari zote zitamalizwa na chama bila hofu yoyote,nb;-NYOTE MLIOCHEPUKA KARIBUNI TENA,fika ktk ofisi yako ya kata ukiwa kifua mbele fanya enrolment lipia kadi pewa kadi yako UBAKI NJIA KUU
 
Sina mengine zaidi ya signature yangu hapo chini.
 
Karibu nyumbani,achana na Michepuko.
Wasikutishe na matusi yao,si unajua wao wazee wa Viroba,Mbege,Miraa na Bangi tuwazoee tu. Tukumbuke WanaCCM tulivyo na upendo. Acha bangi ziendelee kutukana sisi mbele kama TAI
 
Binadamu kama binadamu hakamiliki by 100% ni kweli yapo mambo machache madogo madogo yanashindwa kukamilika kwa wakati lkn isichukuliwe kama ni nongwa ya "to be prepared for disappointment kwa kila jambo hapana!TUKIJENGE CHAMA CHETU TUKIKOSOE TUKIREKEBISHE

2015, the year for dissapointments
 
Back
Top Bottom