Nimepunguza mawasiliano nae

Nimepunguza mawasiliano nae

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Eti ni sahihi kupunguza mawasiliano na mke wako mtarajiwa baada ya kuona maisha yatakua magumu kutokana na kuwasiliana sana. Ili nguvu iamie kwenye maendeleo kwa muda wa wiki 2 au 1.5 . pia kuepusha marumbano kwa kukaa mtandaoni ambapo watu wakiniona mtandaoni vijembe na maneno ya uongo yanakua mengi hata raha ya mtandaoni sioni.hii ni kutokana na Mimi sipendi kelele na ugomvi tena wakuchonganishwa.
 
Hayo mahusiano unayafanyia mtandaoni?
 
Hayo mahusiano unayafanyia mtandaoni?
Mara nyingine tunawasiliana WhatsApp sipendi kutumia SMS na call zinaniboa. WhatsApp nikiwa online watu wanapiga madongo sana naona watahatarisha mausiano yetu halafu ni watu muhimu kwenye connection za michongo ya hela kuwablock siwezi. Tuko mbali kutokana na mishemishe wote.soon tutaonana
 
Ktk kosa ambalo utalijutia ni hilo.mko mbali.na unataka kupunguza mawasiliano.aya endelea.
 
Mara nyingine tunawasiliana WhatsApp sipendi kutumia SMS na call zinaniboa. WhatsApp nikiwa online watu wanapiga madongo sana naona watahatarisha mausiano yetu halafu ni watu muhimu kwenye connection za michongo ya hela kuwablock siwezi. Tuko mbali kutokana na mishemishe wote.soon tutaonana
bro, unamute tu huoni hayo madongo

Halaf umejuaje madongo ni yako??
 
Eti ni sahihi kupunguza mawasiliano na mke wako mtarajiwa baada ya kuona maisha yatakua magumu kutokana na kuwasiliana sana. Ili nguvu iamie kwenye maendeleo kwa muda wa wiki 2 au 1.5 . pia kuepusha marumbano kwa kukaa mtandaoni ambapo watu wakiniona mtandaoni vijembe na maneno ya uongo yanakua mengi hata raha ya mtandaoni sioni.hii ni kutokana na Mimi sipendi kelele na ugomvi tena wakuchonganishwa.
Hali imekuwa tete mitaani nyuzi za jinsi hii zinazidi kushamiri
 
shauri ako mdogo angu...usje anzisha thread ingine Wamekumegea tunda lako
 
Dooh we jamaa ni pungu au kitu gani?..mawasiliano yenye ufahamu yatakiwa baina ya wapenzi wewe ndio unaharibu unataka kwenda mbali...watu wengine hampendeki kabisa kwahivyo unaachia nafasi majamaa mengine yawasiliane okay basi sawa..kupanga ni kuchagua
 
kama anajielewa hawezi kumegwa. Ila ni uamuzi mgumu kuzidi wa namba moja jiwe😂
 
Back
Top Bottom