RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,856
- 4,084
mambo vipi?
Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila niicheck naona location inabadilika maana yake kuna mtu anaitumia na kuna muda anaizima ila laini za simu ni hazipatikani zitakuwa zimeshatupwa
Nikaamua kuchukua loss report na kwenda kituo cha polisi nilivyofika tu nikafika nikawakuta wahudumu wana maswali ya nyodo balaa wakaniuliza nina shida gani na kabla ya kunisikiliza niliwasikia wanasema kuna mtu kapoteza simu maana wao wanawahi kuona kwenye mfumo wao kipengele cha loss report, basi maswali yao umepoteza simu gani?ya tsh ngapi? baada ya hapo nikapewa jibu moja tu NENDA OFISI ZA TIGO nikajiuliza sasa tigo ndo jukumu lao ilo
Nikawaangalia walivyo na dharau na kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kisheria na hawajui kuwa izo ni ofisi za umma tu ambazo kila mtu ni ofisi yake nikaamua kujiondokea na kujisemea moyoni tz hakuna msaada bila kujipambania mwenyewe
Ila nimeamua simu yangu kuifuatilia mwenyewa kupitia google find hub ila uwezekano wa kuipata mdogo