Nimepoteza leseni ya udereva na sina data zozote naweza kuipata?

mzeemkavu

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
305
321
Naombeni msaada kwa yoyote anaefahamu.

Nimepoteza leseni yangu ya udereva ila sina data zozote kwa maana nimesahau namba ya leseni. Nilienda police kutaka loss report ila wakadai namba ya leseni kitu nachokumbuka ni TIN namba tu.

Naweza kupata?
 
Naamini ukienda TRA kitengo cha kutoa/kulipia leseni, kwa kutumia tin number yako wanaweza kukupa data za leseni yako.

Ila kwa vile hiyo sio kazi yao ya kawaida ni jambo la kubembeleza.
 
Naamini ukienda TRA kitengo cha kutoa/kulipia leseni, kwa kutumia tin number yako wanaweza kukupa data za leseni yako.

Ila kwa vile hiyo sio kazi yao ya kawaida ni jambo la kubembeleza.
 
Majina yako matatu na TIN number vinatosha. Usisahau polisi loss report inalipiwa hata duplicate license nayo hulipiwa kiasi Cha mboga
 
Naombeni msaada kwa yoyote anaefahamu.

Nimepoteza leseni yangu ya udereva ila sina data zozote kwa maana nimesahau namba ya leseni. Nilienda police kutaka loss report ila wakadai namba ya leseni kitu nachokumbuka ni TIN namba tu.

Naweza kupata?
Pata lost report sio lazima uende polisi siku hizi unaioata kwenye mtandao fungua

Then nenda TRA wanapoatoa leseni watakuprintia nyingine baada ya kulipia kwa njia ya mtandao
 
Back
Top Bottom