Kipeperushi
Senior Member
- Aug 17, 2011
- 167
- 33
Habari zenu wana jamii, nitafurahi sana iwapo nitapata msaada toka kwenu maana nimekuwa nikifuatilia sana mambo yanavyoendelea humu ndani ya nyumba hii na nimegundua kwamba watu wengi huwa wanafanikiwa kwa namna mbalimbali kupitia uwanja huu wa JF. Ni mara yangu ya kwanzs kuigia humu jamvini, hivyo naomba niseme HODIII...!!??
Nimepoteza folder muhimu kwenye Computer yangu(DOWNLOADS). Tatizo ninalolipata sasahivi ni kwamba kila ninapo download kitu kutoka kwenye internet napewa maelekezo kwamba destination ya hicho ninacho download ni kwenye folder inayoitwa TEMPORARY FOLDER. Hii folder mimi sijui nitaipataje kwenye Computer, naomba kama kuna mtu yeyote anaejua altenative way ya kuzipata hizi downloads anielekeze. Zamani nilikuwa nazipata kwenye hii folder ambayo haipo tena kwenye computer yangu.
Yes hiyo ni default setting ya browser kuwa dowload zote unazofanya huwa zzinakwenda kwenye temp folder .kama unatumia firefox Jinsi ya kulipata ni futa path hii. kwa hiyo sio virusi wala sio tatizo la mashine kama wanavyodai baadhi ya wadau
I
C-> Document and setting---> username folder ---> local settings ---->temp( uaweza uyakuta hapa)
II
Njia nyingine tumia serach tool. search kwenye drive C . kwenye kibox cha kuingiza keyword andika neno temp.
III
Ukishidnwa kabisa kwenye browser yako nenda kabadilishe path ya kuweka downloads. Badilisha path rahisi utayokumbuka . Mfano kwenye c tengeneza folder liite dowload au jina lolote
firefox soma hapa Change the Default Download Location for Mozilla Firefox
IE soma hapa Internet Explorer 9 - Change Default Download Location - Windows 7 Forums
otherwise google how to change default dowload location in ( whhttver broser unayotumia )
sijaelewa unahitaji kubadili mpangilio wa kirambaza chako au kulipata tena hilo kablasha ulilopoteza![Halo..! asante kwa kuwa pamoja nami. Ni kwamba siioni tena hii folder (DOWNLOADS) kwenye computer yangu, sina uhakika kama nili-delete au vipi maana hata kwenye recycle bin nimeshajaribu kupitia lkn haipo. Msaada niliokuwa nahitaji ni namnagani naweza kulirudisha tena ili niweze kuzipata downloads ninazozichukuwa toka kwenye internet. Wanajamii walishanipa mawazo ambayo nimejaribu kuyafanyia kazi lkn mwisho wa siku bado nimeshindwa kuiona hii folder. Shukrani kubwa sana kwenu. MTAZAMAJI alinipa option ya kwenda Google; i.e. google Change Default Download Location in Internet Explorer (Browser Ninayotumia) lkn bado kila ninapojaribu kufuata instructions zilizopo hapo, mwiisho wa zoezi bado nashidwa kuipata hiyo folder.]
asante kwa kuwa pamoja nami. Ni kwamba siioni tena hii folder (DOWNLOADS) kwenye computer yangu, sina uhakika kama nili-delete au vipi maana hata kwenye recycle bin nimeshajaribu kupitia lkn haipo. Msaada niliokuwa nahitaji ni namnagani naweza kulirudisha tena ili niweze kuzipata downloads ninazozichukuwa toka kwenye internet. Wanajamii walishanipa mawazo ambayo nimejaribu kuyafanyia kazi lkn mwisho wa siku bado nimeshindwa kuiona hii folder. Shukrani kubwa sana kwenu. MTAZAMAJI alinipa option ya kwenda Google; i.e. google Change Default Download Location in Internet Explorer (Browser Ninayotumia) lkn bado kila ninapojaribu kufuata instructions zilizopo hapo, mwiisho wa zoezi bado nashidwa kuipata hiyo folder.]
kama kweli inakuambia ipo kwenye temporary folder basi, basi fungua kile kikomandi cha RUN halafu andika %temp% then bonyeza enter itakupeleka kwenye temporary file zote ambazo hazina kazi kwenye komputa yako huenda pia hizo downloads zako pia zipo pale..[ Asante mkuu; nimekwenda kwenye hiyo RUN_,%temp%, nimekuta folders nyingi na kuzipekua, lkn nilikuwa interested sana na moja (TEMPORARY INTERNET FILES) unfortunately hii iko totally empty. Thanks for your help.]
<br />google program moja inaitwa 'Tune up utilities', ndani yake kuna recovery tool nzuri sana, ina uwezo wa kurcover mafaili yote uliyodelete na ambayo hayapo kwenye recycle bin, ili mradi tu usiwe umeformat computer yako
google program moja inaitwa 'Tune up utilities', ndani yake kuna recovery tool nzuri sana, ina uwezo wa kurcover mafaili yote uliyodelete na ambayo hayapo kwenye recycle bin, ili mradi tu usiwe umeformat computer yako[Hellow Sniper, thanks a lot..! Let me try it. I willl contact you thru your private box. Have a good time & let God bless you..!]