Kipeperushi
Senior Member
- Aug 17, 2011
- 167
- 33
Habari zenu wana jamii, nitafurahi sana iwapo nitapata msaada toka kwenu maana nimekuwa nikifuatilia sana mambo yanavyoendelea humu ndani ya nyumba hii na nimegundua kwamba watu wengi huwa wanafanikiwa kwa namna mbalimbali kupitia uwanja huu wa JF. Ni mara yangu ya kwanzs kuigia humu jamvini, hivyo naomba niseme HODIII...!!??
Nimepoteza folder muhimu kwenye Computer yangu(DOWNLOADS). Tatizo ninalolipata sasahivi ni kwamba kila ninapo download kitu kutoka kwenye internet napewa maelekezo kwamba destination ya hicho ninacho download ni kwenye folder inayoitwa TEMPORARY FOLDER. Hii folder mimi sijui nitaipataje kwenye Computer, naomba kama kuna mtu yeyote anaejua altenative way ya kuzipata hizi downloads anielekeze. Zamani nilikuwa nazipata kwenye hii folder ambayo haipo tena kwenye computer yangu.