Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,472
- 34,075
- Thread starter
-
- #461
Ajaribu kwenda kwa wazazi wake wakamuombee wenge litulie.π Don't do that kapatie labda ukikapatia kakila kataacha wenge.
Nilibanwa mahali, ila nimerudi.Bibie ulipotelea wapi?
Duuh we jamaa vp tenaπ€£π€£ π€£Piga swaga jishushe utashangaa anakupa funguo za gari umwendeshe kwenda kazini kwake
Kwahiyo unapenda flat screen au unavutiwa na vingine na siyo makebo?Mimi na makebo wapi na wapi jamani mshamba wa watu...
Mimi mpenzi mtazamaji tu.
Nani kakudanganya? mtoto tena na uzee huu?Umejifungua mtoto gani?
Kula nyama, nyamaza!Zamani ndio nilikua nahesabu sasa hivi nikisema nihesabu nitajiona kabisa hata mbingu ya kwanza sifiki, acha nivipekeche kimya kimya tu.
Wapo watu wazuri tu mkuuMmmh humu hapana. Ila nimewahi kupata wachumba, miaka hiyooo kipind natafuta mchumba
Yani wanawake wengine wana wivu wa kijinga, haya akupe basi kama anaona nafaidi sana!Kumbe na wewe ni katika circle ya wanawake?
Haya nitunuku wewe basi kama umemuonea wivu Binti wa zamani.
Nilijua umepewa maternity leave make si kwa kutugaya huko. Ivi uliwezaje kukaa bila Jf ndugu binafsi siwezi kabisaNani kakudanganya? mtoto tena na uzee huu?
Kazi na dawa, la sivyo hayo mambo yote yatakwama!Taifa lipo kwenye msiba na kupambania katiba mpya Binti wa zamani unanyegesha wapiganaji jeyfu
π€£π€£π€£Yani wanawake wengine wana wivu wa kijinga, haya akupe basi kama anaona nafaidi sana!
Leo dada ushapataga mchumba? Kama jimbo liko wazi nijilipueShoga nilikuwa kuwapa raha
Na ulijua kuwapa raha kweli ππShoga nilikuwa kuwapa raha
Mimi napenda tabia kama wahenga...Kwahiyo unapenda flat screen au unavutiwa na vingine na siyo makebo?
Sina shida na moyo wako, huo kaa nao mwenyewe na familia yako!Nimempa moyo wangu yeye anataka kunibwaga kisa bado Sijafikia utajiri wa billions. Ewe Binti wa zamani nimekupa zawadi ya nafsi achana na vitu vya kupita, our love is eternal
Naweza vizuri tu, nimeelezea zaidi kwenye hii reply #81 - https://www.jamiiforums.com/threads/nimepitwa-na-yapi-karibu-tuzogoe.2470535/page-5#post-56808973Nilijua umepewa maternity leave make si kwa kutugaya huko. Ivi uliwezaje kukaa bila Jf ndugu binafsi siwezi kabisa
Kwahiyo lile lijimama lako lilikua simpo simpo tu nalo, au ndiyo ulikua unatest mitambo?Mimi napenda tabia kama wahenga...
Mrembo "simpo simpo" tu asiye na mwili mkubwa sana...
Nuksi teleKumbe watu mlikuwepo mpaka usiku mwingi, vipi umefanikiwa kuopoa chochote au bado nuksi zinakuandama?
Majibu gani haya unayo toa? Ndo ulivyofunzwa namna ya kujibu bila staha ewe mwanike?Sina shida na moyo wako, huko kaa nao mwenyewe na familia yako!