Nimepitiliza siku tano, je hii itakuwa mimba?

Mambo yenu ya Period msiwe mnatushirikisha,ufanye ngono huko,upitilize period,halafu uje kutuuliza sisi,tukusaidieje sasa?
 
Una wawakilisha akina nani mpaka unasema nyinyi badala ya wewe? Jitaje wewe na sio wengine acha upumbavu
 
[emoji23][emoji23]hii mada unaileta jf!!!!Duh hatari
 
The Home of Great Thinkers!

Swali ni je, between hapo kati ulinyanduliwa mabao kadhaa pekupeku au unategemea mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu?

Vitu vingine huhitaji kukimbilia huku. Sisi sasa tutajuaje ilhali hatuna taarifa na activities zako za kupigwa mikasi?

Anyway, vuta subira na pima tena baada ya miezi miwili. Mimba huwa haidanganyi. Kama bado huna mimba, labda itakuwa ni hormone imbalance tu na unapaswa kwenda hospital kupata ushauri sahihi
 
B

Back
Top Bottom