Nimepitiliza siku tano, je hii itakuwa mimba?

Nimepitiliza siku tano, je hii itakuwa mimba?

Me nahisi sijui ni hili jua linachoma hadi mayai yanakaukia tu huko ndani[emoji3] me mwenyewe nimepitisha Leo ya 3. Na sijanyanduana kitambo kirefu aisee, sina hofu Nazisubiri mpaka zitakapojisikia kuja.
Nna gunia la viazi acha nkuletee ule kiepe yai
 
Wewe utakuwa mpiga ramli wa ukweli kabisa sio wale matapeli,Nina watoto wawili mapacha wa kike na niliambiwa ukizaa mapacha jinsia moja ni dalili kwamba watakuja mapacha wengine
Wow mimi nna undugu na Mshana Jr huwa hatutanii kabisa kilingeni kwetu, kila rakheri na ikawe hivo , i hope ni planned eeh 😜😜
 
Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
Hongera sana mama Kijacho
 
Me nahisi sijui ni hili jua linachoma hadi mayai yanakaukia tu huko ndani😀 me mwenyewe nimepitisha Leo ya 3. Na sijanyanduana kitambo kirefu aisee, sina hofu Nazisubiri mpaka zitakapojisikia kuja.
Fanya ili upate period...




Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom