Nimepitiliza siku tano, je hii itakuwa mimba?

Jabakeke

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
386
Reaction score
362
Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
 
The Home of Great Thinkers!

Swali ni je, between hapo kati ulinyanduliwa mabao kadhaa pekupeku au unategemea mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu?

Vitu vingine huhitaji kukimbilia huku. Sisi sasa tutajuaje ilhali hatuna taarifa na activities zako za kupigwa mikasi?

Anyway, vuta subira na pima tena baada ya miezi miwili. Mimba huwa haidanganyi. Kama bado huna mimba, labda itakuwa ni hormone imbalance tu na unapaswa kwenda hospital kupata ushauri sahihi
 
Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ninini hasa?
Ndio ni mimba.
 
Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
Hio ndio wala usiwe na wasi.
Kwa maana hata mm wife alipitisha siku karib 10 lakn tulipopima hana.
Halaf hana dalili yoyote ile ya kuwa na mimba so subiria huo mwezi kuisha halaf pima utaona kitu kimeganda
 
Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
Umebanduliwa tareh ngapi ? Kuanzia tareh24/11.ili tukupime tujue utapata mtoto wa aina gani ?
 
Me nahisi sijui ni hili jua linachoma hadi mayai yanakaukia tu huko ndani😀 me mwenyewe nimepitisha Leo ya 3. Na sijanyanduana kitambo kirefu aisee, sina hofu Nazisubiri mpaka zitakapojisikia kuja.
 
Itakuwa Popo bawa alikunyandua [emoji23]
Me nahisi sijui ni hili jua linachoma hadi mayai yanakaukia tu huko ndani[emoji3] me mwenyewe nimepitisha Leo ya 3. Na sijanyanduana kitambo kirefu aisee, sina hofu Nazisubiri mpaka zitakapojisikia kuja.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kwahiyo hapo unauliza ama?
Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
 
The Home of Great Thinkers!

Swali ni je, between hapo kati ulinyanduliwa mabao kadhaa pekupeku au unategemea mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu?

Vitu vingine huhitaji kukimbilia huku. Sisi sasa tutajuaje ilhali hatuna taarifa na activities zako za kupigwa mikasi?

Anyway, vuta subira na pima tena baada ya miezi miwili. Mimba huwa haidanganyi. Kama bado huna mimba, labda itakuwa ni hormone imbalance tu na unapaswa kwenda hospital kupata ushauri sahihi
Nimenyanduliwa peku kuanzia tarehe 18 mpaka leo asubuhi mkuu
 
sijaona sehemu ukisema mtanange umepigwa lini ila nashangaa una hofu na mimba
weka wazi mtanange umepigwa lini
Huwezi kuwa na hofu ya mimba bila kupigwa mtanannge,umepigwa kuanzia 18 mpaka leo asubuhi
 
Back
Top Bottom