Nimepitiliza siku tano, je hii itakuwa mimba?

Nimepitiliza siku tano, je hii itakuwa mimba?

Hujasema lakini lini uligegedwa ndani ya huo mwezi na kama mlitumia kinga au alimwaga nje. Kifaa ulichotumia kupimia kama una mimba kina matatizo [emoji12]
Wacha kunitia presha weye
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
[emoji1][emoji1]Napokea salamu Fam, Jf raha sana ujue..!! Eti amekicheza mwezi mzima afu anaogopa mimba[emoji51][emoji51]
Unaweza ukacheza dakika tatu tu na ukapata mimba,halafu aliyecheza mwaka mzima akakosa
 
Me nahisi sijui ni hili jua linachoma hadi mayai yanakaukia tu huko ndani😀 me mwenyewe nimepitisha Leo ya 3. Na sijanyanduana kitambo kirefu aisee, sina hofu Nazisubiri mpaka zitakapojisikia kuja.
Una muda gan hujanyanduliwa mkuu.
 
Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
Usiwe unauza mechi utapata NGOMA wewe!!
 
Back
Top Bottom