EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
Kipimo cha mimba husoma baada ya siku 7 tangu kutungwa kwa mimba so subiria kidoooogaKipimo kinasoma negative
Kipimo cha mimba husoma baada ya siku 7 tangu kutungwa kwa mimba so subiria kidoooogaKipimo kinasoma negative
Ulifanya mapenzi lini na nani?Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
Mbona kama tayarii🙆♀️Huwezi kuwa na hofu ya mimba bila kupigwa mtanannge,umepigwa kuanzia 18 mpaka leo asubuhi
CHAI...!!Huwezi kuwa na hofu ya mimba bila kupigwa mtanannge,umepigwa kuanzia 18 mpaka leo asubuhi
Na wewe Jabakeke usiwe mbahiri kihivyo....unashindwa kwenda kumuona gyneocoligist kweli?Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
daa sasa hapo naitaji darasa naskiaga tu bt i dnt know how does this work sorry go Go girl see doctorNilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
😄😄Napokea salamu Fam, Jf raha sana ujue..!! Eti amekicheza mwezi mzima afu anaogopa mimba😬😬😂😂😂😂😂@The Happiness nakusalimia
Kwani alimwagia ndani?Nilianza siku zangu tarehe 15/11 na kumaliza 17/11, mzunguko wangu ni wa siku 28 nilitarajia tarehe 12/12 nizione siku zangu lakini mpaka leo kimya, asubuhi ya leo nimepima kipimo (UPT) kinaonyesha Sina mimba na Sina dalili yoyote ya kuwa na mimba,je tatizo ni nini hasa?
Huu si mwandiko wa kike. Au wewe ni tom boy?Huwezi kuwa na hofu ya mimba bila kupigwa mtanannge,umepigwa kuanzia 18 mpaka leo asubuhi
Me nahisi sijui ni hili jua linachoma hadi mayai yanakaukia tu huko ndani😀 me mwenyewe nimepitisha Leo ya 3. Na sijanyanduana kitambo kirefu aisee, sina hofu Nazisubiri mpaka zitakapojisikia kuja.
😄😄Napokea salamu Fam, Jf raha sana ujue..!! Eti amekicheza mwezi mzima afu anaogopa mimba😬😬
Wewe Kama hujabanjuliwa tulia tuMe nahisi sijui ni hili jua linachoma hadi mayai yanakaukia tu huko ndani[emoji3] me mwenyewe nimepitisha Leo ya 3. Na sijanyanduana kitambo kirefu aisee, sina hofu Nazisubiri mpaka zitakapojisikia kuja.