Nimepigwa na Askari na kuumizwa, nipo Hospitali

View attachment 1076020

Mimi ni mwananchi, mfanyabiashara naishi Mbagala jijini DSM katika Wilaya ya Temeke.

Leo tarehe 19/04/2019 majira ya saa nne asubuhi ndani ya kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala nimeshambuliwa bila hatia yoyote na askari Polisi anayefahamika kwa jina la Friday Mgina akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na amenishambulia mbele ya askari wenzake na amepora gari langu aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T615 DBX na kuondoka nalo na mpaka sasa sijui hilo gari lipo wapi.

Kwa sasa nipo hospitali ya serikali Mbagala Zakhiem kwa ajili ya matibabu ila hali yangu ni mbaya kwani nikikohoa natoa damu na nikipiga chafya natoa damu.

Nawaomba viongozi wangu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wapate taarifa ili hata nikifa ifahamike chanzo cha kufa kwangu ni kipigo nilichopewa na askari huyu.

Pia naomba sana taarifa hizi zimfikie Rais wangu mpendwa aone jinsi mwananchi wake nisiye na hatia nilivyoteswa na kuumizwa na Askari Polisi.
Pole sana bwashee..
Huyo askari ni mwanamke?sory hilo jina sijalitambua vizuri
 
pole sana kuna askari wengi wanajiona wako juu ya sheria askari haruhusiwi kufanya hivyo vitendo pata matibabu usiogope kufatilia haki yako
 
Nina imani hii habari itawafikia viongozi wakubwa wa nchi na hatua stahiki zitachukuliwa

Nakutakia uponyaji mwema ndugu yetu. Pole sana brother
 
Chanzo nini? Mi naamini ipo sababu tu ya kupigwa. Kuwa mkweli,atuangalii upande mmoja,askari cio mwehu mpaka akupige iv iv, kuna ishu umemfanyia tu uyo soja, by the way cku iz raia munamazoea mabaya sana
Hata mimi naamini hivyo. Huenda polisi alikuwa amamwandaa mtuhumiwa jinsi ya kumkamata baada ya kuona ni mtata.
 
View attachment 1076020

Mimi ni mwananchi, mfanyabiashara naishi Mbagala jijini DSM katika Wilaya ya Temeke.

Leo tarehe 19/04/2019 majira ya saa nne asubuhi ndani ya kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala nimeshambuliwa bila hatia yoyote na askari Polisi anayefahamika kwa jina la Friday Mgina akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na amenishambulia mbele ya askari wenzake na amepora gari langu aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T615 DBX na kuondoka nalo na mpaka sasa sijui hilo gari lipo wapi.

Kwa sasa nipo hospitali ya serikali Mbagala Zakhiem kwa ajili ya matibabu ila hali yangu ni mbaya kwani nikikohoa natoa damu na nikipiga chafya natoa damu.

Nawaomba viongozi wangu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wapate taarifa ili hata nikifa ifahamike chanzo cha kufa kwangu ni kipigo nilichopewa na askari huyu.

Pia naomba sana taarifa hizi zimfikie Rais wangu mpendwa aone jinsi mwananchi wake nisiye na hatia nilivyoteswa na kuumizwa na Askari Polisi.
Umeamua tu kuuza sura mbona umepigwa kawaida tu mkuu
 
Fuata sheria mkuu haki yako itapatikana Kama kweli amekuonea kwani sheria ni msumemo
 
Back
Top Bottom