We jamaa hovyo kabisaTena omba Mungu rais hasijue kabisa. Akijua tu huyo askari anapanda cheo chap chap

Umeshaanza kumhukumu ...Tulia kwanza jieleze vizuri tujue chanzo ni nini wewe ndio unaonekana unakosa
Hajamkamata sasa amemwadhibu kisha kamwachiaHata mimi naamini hivyo. Huenda polisi alikuwa amamwandaa mtuhumiwa jinsi ya kumkamata baada ya kuona ni mtata.
View attachment 1076020
Mimi ni mwananchi, mfanyabiashara naishi Mbagala jijini DSM katika Wilaya ya Temeke.
Leo tarehe 19/04/2019 majira ya saa nne asubuhi ndani ya kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala nimeshambuliwa bila hatia yoyote na askari Polisi anayefahamika kwa jina la Friday Mgina akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na amenishambulia mbele ya askari wenzake na amepora gari langu aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T615 DBX na kuondoka nalo na mpaka sasa sijui hilo gari lipo wapi.
Kwa sasa nipo hospitali ya serikali Mbagala Zakhiem kwa ajili ya matibabu ila hali yangu ni mbaya kwani nikikohoa natoa damu na nikipiga chafya natoa damu.
Nawaomba viongozi wangu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wapate taarifa ili hata nikifa ifahamike chanzo cha kufa kwangu ni kipigo nilichopewa na askari huyu.
Pia naomba sana taarifa hizi zimfikie Rais wangu mpendwa aone jinsi mwananchi wake nisiye na hatia nilivyoteswa na kuumizwa na Askari Polisi.
Ni ngumu kujua kama MTU amefanya kosa kabla hajapelekwa mahakamani, na hata ikibainika kua ametenda kosa kuna taratibu na kanuni za adhabu huwa zinafuatwaPole, umefanya kosa gn mpk akakubutua?
Afadhali umeingilia kati kama kumbukumbu zangu zipo sawa kuna hakimu alipatwa na jambo baada ya kumuakikishia kua litampata ni wewe ehpiga namba hizo kisha elezea ukweli kilichotokea 0756616777
du pole sana mkuu.inaonekana wamekupiga sana upande wa jicho hilo la kushotiView attachment 1076020
Mimi ni mwananchi, mfanyabiashara naishi Mbagala jijini DSM katika Wilaya ya Temeke.
Leo tarehe 19/04/2019 majira ya saa nne asubuhi ndani ya kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala nimeshambuliwa bila hatia yoyote na askari Polisi anayefahamika kwa jina la Friday Mgina akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na amenishambulia mbele ya askari wenzake na amepora gari langu aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T615 DBX na kuondoka nalo na mpaka sasa sijui hilo gari lipo wapi.
Kwa sasa nipo hospitali ya serikali Mbagala Zakhiem kwa ajili ya matibabu ila hali yangu ni mbaya kwani nikikohoa natoa damu na nikipiga chafya natoa damu.
Nawaomba viongozi wangu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wapate taarifa ili hata nikifa ifahamike chanzo cha kufa kwangu ni kipigo nilichopewa na askari huyu.
Pia naomba sana taarifa hizi zimfikie Rais wangu mpendwa aone jinsi mwananchi wake nisiye na hatia nilivyoteswa na kuumizwa na Askari Polisi.
Pole sana mzee...ila jaribu kuonana na mkuu wa kituo wa hapo ukishindwaa nenda kituo kikubwa chang'ombe ukaonane na mkuu wa kituo muelezee kilichotokea nina imani utapata haki yako na hatua zitachukuliwa kwa muhusikaView attachment 1076020
Mimi ni mwananchi, mfanyabiashara naishi Mbagala jijini DSM katika Wilaya ya Temeke.
Leo tarehe 19/04/2019 majira ya saa nne asubuhi ndani ya kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala nimeshambuliwa bila hatia yoyote na askari Polisi anayefahamika kwa jina la Friday Mgina akiwa amevaa sare za Jeshi la Polisi na amenishambulia mbele ya askari wenzake na amepora gari langu aina ya Toyota Hiace lenye namba za usajili T615 DBX na kuondoka nalo na mpaka sasa sijui hilo gari lipo wapi.
Kwa sasa nipo hospitali ya serikali Mbagala Zakhiem kwa ajili ya matibabu ila hali yangu ni mbaya kwani nikikohoa natoa damu na nikipiga chafya natoa damu.
Nawaomba viongozi wangu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wapate taarifa ili hata nikifa ifahamike chanzo cha kufa kwangu ni kipigo nilichopewa na askari huyu.
Pia naomba sana taarifa hizi zimfikie Rais wangu mpendwa aone jinsi mwananchi wake nisiye na hatia nilivyoteswa na kuumizwa na Askari Polisi.
Unakosea kusema hivyo ukiwa kama raia mwema,polisi nilienda kusikiliza wito baada ya daladala yangu kuchukuliwa na huyo askari pia ikumbukwe kuwa polisi ni sehemu ambayo hata mhalifu anaweza kukimbilia ili kunusuru maisha yake