navin dippe
Member
- May 18, 2015
- 47
- 104
Tangu mwishoni mwa wiki iliyopita mchepuko wangu umekua ukidai idd imekaribia hivyo inakuaje? Kila akianzisha mada ya idd mm naingiza mada nyingine, hivyo hivyo hadi Jana alipoomba kuonana na mm uso kwa uso, nilipotoka kazini tukakaa fyatanga bar boko maana wote tunaishi maeneo hayo, akaanzisha mada ya idd upya, baada ya kuchoshwa na mada hiyo nikamuuliza kwani how much are we talking about here? Akadai eti laki Tatu, nilitaka kuanguka, laki Tatu?
Ikabidi nimuulize are you serious?
Nikamwambia mm nitakutumia kwenye m-pesa 50,000 nina laki moja kwenye simu, nusu wewe nusu familia yangu, pesa yote niliyokua nayo ni ya watoto, baada ya idd Shule zinafunguliwa, tumeelewana mama? Nashangaa ananiangalia bila majibu, tukatawanyika
Anyway, usiku akaniandikia sms ndefu sana ya malalamiko kwamba simtimizii mahitaji yake, kwamba hapo alipo anadaiwa kodi, mama mgonjwa na kadhalika, nikamwambia wakati tunaendelea na chatting Hebu pokea hiyo 50,000 tuwe hatudaiani, hakusema Asante, ataendelea kunirushia tuhuma
Nikawa nimekasirika nikamwambia mm mambo ya mahitaji yako hayanihusu, kodi hainihusu na kuishi kwako hakunihusu maana mm na wiki mbili tu mahusiano, tayari unataka kunigeuza baba yako, duu wadau binti aligeuka mbogo, alianza kuvurumisha msg, kwamba kama ni hivyo eti mm na yy basi, eti kama siwezi kumhudumia yy basi,
Nikamjibu sawa kwa heri, mm sio zoba
Nikapiga simu voda dawati la m-pesa na kuwaambia nimekosea kutuma namba kiasi cha 50,000, wakai reverse nikarudishiwa
Muda si mrefu akanitumia sms akisema "nyang'au mkubwa wewe, hata 50,000 umechukua, umechoka, feki ww
Nikajibu sawa, Nikamjibu nimeona ninunue luku ya mwezi mzima badala ya kumpa kahaba, akaendelea na matusi sikumjali tena
Yaani hawa watoto wa kike wamekuaje sasa hivi? Hamtaki kufanya kazi mnataka pesa za bure, why?
Acha mtu akupe hizo laki Tatu kwa mapenzi yake na sio kulazimisha, potelea mbali, papuchi yake sijapata nae hela yangu hajapata, ngoma droo, alitaka achukue hela zangu halaf anichenge chenge aanzishe ugomvi wa uongo na kweli anitose, nina uzoefu sasa hivi, walikula hela zangu zamani nikiwa bado fala, sio leo
Halaf mtu mwenyewe wala sio muislam wala idd haimuhusu halaf anadai hela ya idd
Nonsense