Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
Ni aibu kumtumia demu buku. Naona aliamua tu kukudharau. Hela ya vocha siwezi tuma chini ya 10,000.
calm manBuku yangu inaniuma sanaa aisee.. Roho imejawa na hasira.
ndio maana vijana wanakuwa marioo siku hizi, hawana hata buku wala kazi ila wanataka wao watunzwe na wanapata mijimamaKama kuna mwanaume ambaye kwake buku ni kubwa, basi hastahili kuwa na mwanamke yaani tena hastahili kabisa hata kuwa na hamu ya kufanya ngono anatakiwa atafute pesa aache kuwaza ujinga.
ina maana umewahi kuonga nyumba kisa papuchiDogo watu tumehonga nyumba na magari sio moja
Na bado hatujalia we fwala
Hii jinsia haikuja kwa ndege kweli?
Sana na nashangaa kwann unalalamaKwa hiyo buku ndogo eeehh??
sio mojaina maana umewahi kuonga nyumba kisa papuchi
Ndiyo lazima washangae kwa sababu wanaume mmeigeuza kama ni desturi kuomba mzigo mnapowasaidia wanawake hela kwahiyo ikitokea mwanaume akatoa pesa bila kuomba mzigo lazima mwanamke ashangaenilishawahi kuwa natoa tu hela ndogo ndogo zaidi ya hiyo na wala sikua na nia ya kuomba mzigo.
heee kumbe naonekana tonji.tunatofautiana mitazamo.
nikagundua kumbe kumpa tu mtu hela na usimtongoze wala kuomba, ye mwenyewe atakushangaa.
Wanaume wengi masikini nao hawanaga shukurani mtu unasema umthamini na umasikini wake yeye anakuona kama taka taka tu anakusaliti au anakuwa yuko na wewe kwa sababu tu hana pesa ya kumfanya awe na wanawake wazuri na siku akizipata anakuona siyo type yake tena anaanza kukufanyia visa kwahiyo ni either uvumilie au ujiengueMbona mnatubagua wakuu.
Sie ndiyo hatustahili mapenzi?
Tatizo hamu mkuu..
Mmmh
Tulisha kubalianaga kwenye kile kikao chetu hakuna kumuunga demu na bando, ww kiherehere chako kimekuponza. Ila wanawake badilikeni sikuhizi wanaume hatuoi wapiga mizinga
Wapi wewe kwani wanaume huwa mnazingatia ahadi zenu? Ni wanawake wangapi wanaambiwa kuwa wataolewa ila mambo yanakuwa tofauti?Kuna sehem nimeandika 'huyu naoa kabisaa '
Hujapaona mkuu
Jifanye unaringa alafu wakumwagie tindikali usoni domo likae kushoto ngozi ivutike hadi shingo ihamie kichogoni ndo ujione keki kumbe muhogo tu mkavu