Nimepigiwa na mtu aliyekuwa kwenye panel ya interview Utumishi baada ya matokeo kutoka

Pkyakwe

New Member
Sep 25, 2022
1
3
Habari naomba kuuliza.

Mwaka juzi mwez Kama wa 8 niliendaga interview ya utumishi ilikuwa ni ya ustaw wa jamii Ile interview majibu yaltoka Ila sikupita lakn mwaka jana mwezi wa Tisa au 10 hvi miongoni mwa watu waliokuwa kwenye Ile panel alinitafuta na kuniuliza baadhi ya maswali sasa sikujua Kama ni miongon mwa wale waliokuwa kwenye panel.

Swal langu je hili limekaeje?
 
Kuna watu walipga interview hawakupita ila baada ya miezi wakajikuta wamepangiwa kazi zingine yani majina yametoka wamo. Mmojawapo wa watu hao ni mdogo wangu na rafiki yake walikuwa hata washasaahu mambo ya kazi maana ilikuwa ishapita miezi kibao toka wakose nafasi za kazi walizopigia interview.
 
Back
Top Bottom