Unaweka plan hela ya urithi c ufala huuTafuta mademu wakali uwagonge sana ili upate akili ya kutafuta pesa zako mwenyewe.
Miez 3 afanye miaka 3 wenge litoke lote1. Ziweke fixed kwanza huku ukipunguza wenge na kufikiria kwa umakini.
Ziweke fixed hata miezi 3 huku uki brainstorm.
2. Kila biashara inalipa ukihadithiwa.
Nachokushauri kwenye biashara "FOLLOW UR PASSION""
Au kama vipi Tuagize biaaa
#YNWA
Nimecheka kama mtoto mzee wa kuwapakaKwakua tayari kuna mtu anajiita mzee wa upako, we unatakiwa ujiite mzee wa kuwapaka alafu utenge 1M kila wikendi uwe unatafuta viwete wa mchongo wawili unawapa posho ya elf 10 unawaombea hadi wapone, hadi 1M iishe unakua umewaombea viwete wa mchongo 100 tayari Ni mtaji huo, unasubiri faida sasa huku ukijiita mzee wa kuwapaka
Kama zumaridi ana wenge kiasi kile lakin watu wamemuamini maana yake mchongo uko kule
Mnataka kijana afe kwa mawazo.Acha kumpoteza kijana ....hiyo hela aingize kwenye biashara
Njoo Chanika mwisho mnarani kuna ofisi za madalali nzuri. Utapata nyumba nzuri kwa bei poa .Chanika sehemu gan mkuu
Asikudanganye mtu mkuu! Nipo field hiyo zaidi ya miaka kumi swala la kununua dhahabu lilikua zamani sa ivi ataangukia puaKwenye swala la madini unaweza ukatoboa kama ukiwa mnunuzi mzuri na makini kwenye dhahabu
Swali la msingi sana hiliKabla ya kumiliki hicho kiasi, ulikuwa unajishughulisha na nini?
Mkuu,Kama ni Urithi na Unahofu Juu ya namna ya kuitumia Basi Nicheck PM kwa maelekezo zaidi.Ili kuna existing Business ambayo unaweza kuwa MBIA kwa Mfumo ambao ni salama.Biashara iko Based Kanda ya ZIWA.Ukiwa Tayari kuwekeza.Utapata Ajira kwenye kampuni na Pia Utakuwa ni mmiliki anayeweza Pata Dividend.Kama uko Interested nicheck PM.Ila Minimum Investment itatakiwa ni 10 Milion.Wakubwa Kwema?
Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimepewa Urithi wangu mapema kiasi cha milion 18 net.
Nimeambia hizo pesa nikizifanyia ujinga ndiyo basi tena nitakuwa sina kitu kwa mzee sasa nimewaza kununua hata kijumba cha milioni 14 nje ya Dar es Salaam hata cha vyumba viwili.
Halafu 4 inayobaki nijaribu kuitia kwenye biashara yoyote itakayoweza kuizalisha sasa wakuu napagawa kwa sababu sikujipanga nisaidie kwa lolote hiyo kwangu ndo karata ya mwisho![]()
Hebu tuma picha ya hio nyumba tuioneNimepata nyumba chamazi kwa ml 15 sasa nawaza hiyo inayobaki
Huo sio urithi kwani ujui maana ya urithi?alie kupa hiyo hela kakosea sana ilimpasa akifundishe kazi ya kufanyisha hiyo hela ona sasa umearibu hela umekiblia kununua banda wengi udhani wakiwa na nyumba shida zimeisha kumbe sio kweliWakubwa Kwema?
Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimepewa Urithi wangu mapema kiasi cha milion 18 net.
Nimeambia hizo pesa nikizifanyia ujinga ndiyo basi tena nitakuwa sina kitu kwa mzee sasa nimewaza kununua hata kijumba cha milioni 14 nje ya Dar es Salaam hata cha vyumba viwili.
Halafu 4 inayobaki nijaribu kuitia kwenye biashara yoyote itakayoweza kuizalisha sasa wakuu napagawa kwa sababu sikujipanga nisaidie kwa lolote hiyo kwangu ndo karata ya mwisho![]()
Waache wamdanganye anunue nyumba alafu aje kuomba Ela kula humu,nyumba ni kuzika ElaHuo sio urithi kwani ujui maana ya urithi?alie kupa hiyo hela kakosea sana ilimpasa akifundishe kazi ya kufanyisha hiyo hela ona sasa umearibu hela umekiblia kununua banda wengi udhani wakiwa na nyumba shida zimeisha kumbe sio kweli